Tume ya mabadiliko ya katiba


Hamna kitu kama hicho mkuu JK kawadharau sana waislamu wa Tanganyika 15 vs 4??? this is too much

Mimi mtanganyika hao wazanzibar hawanihusu kwani sijaona wazanzibar wakristo wakilalamika so nina assume wamekubaliana na wajumbe kutoka katika nchi yao..

Huu ni ujinga anaufanya JK mara kwa mara kwa waislam it high masheikh kumshughulikia huyu jamaa anatumika na kanisa bila kujijua aisee..
 

Ndio maana nasema JK lazima aweke waislam 7 vs 7 wakristo kutoka Tanganyika; JK anajipendekeza kwa wakristo kwenye hii tume.

Wazanzibar wataamua wenyewe wanataka wakristo wangapi (kama wapo)???
 

Mbona itakuwa duplicate hiyo? Labda urudi nyuma, basis ya hiyo tume ni nini? Ni tume ya uwakilishi? Inamwakilisha nani. Jambo la muhimu na bora zaidi ni kuchambua wasifu wa wajumbe walioteuliwa kuwa wajumbe wa tume. Je, wana sifa zinazostahili kuwa kwenye hiyo tume? Suala la kama tume ni representative enough sidhani kama linahusika sasa kwa sababu tume yenyewe si ya uwakilishi.

Vey low. Kwa hiyo kuziba huo ufa ni kuteua watu kwa kuangalia dini zao?
 
Kama hakuna uwiano wa sawa sawa na Muungano uvunjike.
Mkuu EMT, nimemsikiza Sheikh wetu, ujumbe wake nimeupokea na hata kale ka ujumbe ka sio mungu nimekapokea ila kiukweli ni Mungu!.
 
Reactions: EMT

Mkuu Pasco, kwanza kabisa uliwahi kujipambanua kuwa wewe ni Mnaz sugu wa EL. na kama ni hivyo maneno yako yaliyo matmu humu ni kutudanganya ili mshirikiane na tume hii kuchakachua maoni ya watanzania kuhusu katiba yao kwa manufaa ya EL na na timu yake. ccm haiwezi hata siku moja kutengeneza katiba kwa manufaa ya watanzania hili sahau!
 
Wadau,
Huyu member Edwin Mtwei hajakuwa Verified kama ndie Mtei ninayemfahamu au mwingine!!! Kama ni Edwin Mtei huyu huyu mwanzilishi wa CHADEMA...basi sina budi kusema kwamba am completely disappointed na kuogopa!!! Kama kweli ni Edwin Mtei Muhasisi wa CHADEMA, basi nakiri kwamba CHADEMA ni chama cha udini!!! Hivi kwanza inatokeaje kwa mtu anaanza kuhesabu watu na kuangalia Wakristo wangapi na waislamu wangapi?! Hivi mtoa mada hafahamu vyovyote iwavyo, ili mradi patatokea mgawanyo ulio sawa wa wajumbe toka bara na znz basi lazima waislamu watazidi tu as overall kwavile watakaotoka znz karibu wote ni waislamu? Katika hili ili kuleta upuuzi wa ku-balance kwa vigezo vya dini; je mteuaji anatakiwa kufanya nini? Kwavile ZNZ watatoka waislamu pekee atapaswa bara kuteua wakristo pekee ili kuleta uwiano?!

Hakika nasema, ikiwa ni kweli mtoa hoja ni Edwin Mtei wa CHADEMA, basi am completely disappointed by him!!! Sikutarajia na wala sikufikiria kwamba mtu kama yeye anaweza kuwa na mawazo mgando kama haya! Niliona thread moja ambayo imesema msimamo wa Mtei ni huu ulioandikwa na "Mtei huyu!" Sio siri, nilitaka kubisha kwa kuamini kauli kama hiyo haiwezi kutolewa na mtu anayeheshimika kama Edwin Mtei! Na kama huo utakuwa ndio msimamo wa chama, basi am afraid kwamba bado hatuna chama makini tanzania!
 
 

This is absolutely ridiculous what makes you think eti udini upo kwasababu ya composition ya Team ya katiba are you serious wewe??? Hembu tuanze kuchanganua michakato ya composition katika sekta mbali mbali za nchi. Unaonaje mchanganuo wa 70% ya wakristo kuwa katika serikali kama mawaziri, naibu mawaziri na makatibu wakuu wakati waislamu ni 50% ya population ya Tanzania????

Tukija katika argument yako ya Boko Haram this is absolutely **** na ndio udini wenyewe huu. Kwanini waislamu uwafikirie mabaya??? mbona hutoi mifano ya Indonesia, Malaysia, Saudi Arabia, UAE na kwengineko why unawachukua kundi la fundamentalist na kuwapa picha ya hao kuwa ndio waislamu je na waislamu nao wakikupa mifano ya wakristo wa siasa kali je ndio wakristo wote wapo hivyo??? Au umesahau akina Timothy Mcvae? IRA kule ireland na mengineyo mengi ambapo waliofanya hayo ni wakristo je na waislamu wawe tahadhari na wakristo???

Tuondolee ukinazi wako huu ni ujinga wa hali ya juu kuanza kubagua watu kwa misingi ya dini kwani Tanzania ni yetu sote awe mwislamu au mkristo, mpagani au muabudu ngombe, mhindi au mwarabu au mtu mweusi au mzungu. Mtu anayebagua watu ni kuogopa kama ukoma na Mtei kwa hili ni wa kuogopa kama ukoma it is a shame!!!!
 
Ndio maana nasema JK lazima aweke waislam 7 vs 7 wakristo kutoka Tanganyika; JK anajipendekeza kwa wakristo kwenye hii tume.

Wazanzibar wataamua wenyewe wanataka wakristo wangapi (kama wapo)???

lol. Kwa hiyo Mzee Mtei yuko right?
 
..lakini kwanini Zanzibar wawakilishwe na Mkristo mmoja tu ktk Tume ya Katiba??

..hivi huko Zanzibar hakuna wa-Kristo wengine zaidi ya huyu Jaji Augustino Ramadhani??

..hii Tume ilipaswa kuwa 50--50 kati ya Waislamu na Wakristo, bila kujali kwamba Zanzibar 99% ni Waislamu.
 
Dah! Mzee is it yr true color?.i hav to believe.hidden agenda of yr political party is no more.hoja iko wazi tatizo si jk bali watu ambao wanaitizama tume kwa miwani ya msalaba na mwezi.kwa mwendo huu zitto hatapata kuwa mwenyekiti wa cdm na ndio maana wengi humu mnamponda kumbe udini!
 

Hata huyo mmoja jaji augustino hatumtambui, na hao wakristo toka ZNZ wamwakilishe nani?
 

Umenena vema kabisa maana tukiwa tunaenda hivyo basi tume ya kutoka zanzibar ilitakiwa isiwe na mwakilishi hata mmoja mkristo maana zanzibar karibia 99% ni waislamu. Watu wanaobagua watu kwa demographic wa kuogopa kama ukoma seriously!!!
 
Hata huyo mmoja jaji augustino hatumtambui, na hao wakristo toka ZNZ wamwakilishe nani?

Tume ya Katiba,

..Wakristo ni part ya Zanzibar.

..hata huku Tanganyika Ukristo umeingia ukitokea Zanzibar.

..Hivi kuna ubaya gani wa kuweka mgawanyo sawa wa Waislamu na Wakrito toka kila upande[Tanganyika na Zanzibar] ktk Tume hii ya Katiba??
 
Umenena vema kabisa maana tukiwa tunaenda hivyo basi tume ya kutoka zanzibar ilitakiwa isiwe na mwakilishi hata mmoja mkristo maana zanzibar karibia 99% ni waislamu. Watu wanaobagua watu kwa demographic wa kuogopa kama ukoma seriously!!!

Mdondoaji,

..madai kwamba 99% ya Wazanzibar ni Waislamu ni kisingizio tu cha kuwakandamiza Wakristo walioko Zanzibar.

..hivi kweli unataka kuniambia Zanzibar hakuna Wakristo 7 wa kuweza kuteuliwa kwenye Tume ya Katiba??

..vivyo hivyo kwa Tanganyika, hivi we could not find 4 more Muslims ili tume iwe na uwiano sawa kati ya Waislamu na Wakristo???
 
Tume ya Katiba,

..Wakristo ni part ya Zanzibar.

..hata huku Tanganyika Ukristo umeingia ukitokea Zanzibar.

..Hivi kuna ubaya gani wa kuweka mgawanyo sawa wa Waislamu na Wakrito toka kila upande[Tanganyika na Zanzibar] ktk Tume hii ya Katiba??

What about mgawanyo wa wahindu, mabudda, na wapagani.

What about mgawanyo wa wanawake na wanaume na wale watu wenye jinsia mbili?

What about mgawanyo wa malesbian na magay na wale straight people?

Je tutafika???? Tafakari!!!! na hoja yenu muflis kabisa!!!!
 

Kwanini wakristo wawemo katika tume ya katiba kutokea zanzibar??? Au kwanini waislamu wawemo katika tume ya katiba kutokea bara? Je wakristo wa zanzibar hawawezi kuwakilishwa na waislamu waliopo kutokea zanzibar au vice versa kutokea bara waislamu hawawezi kuwakilishwa na wakristo waliomo katika tume??? Kipi ni muhimu competence au dini ya mtu huoni huko ni kufilisika kisiasa na kiakili? Je nikuuliza mbona hamjibu hoja ya waislamu kwanini wakristo wapo 70% serikali ya muungano wakati waislamu ni 50% ya population?
 

Mkuu Mdondoaji, Kwanini povu likutoke kama si sababu ya udini wako? Ni ukweli usiopingika kwamba waislam wamekuwa wakindeleza hoja za kuilazimisha serikali kuendesha mahakama ya kadhi kwa ghalama za kodi zetu na pia kuilazimisha serikali yetu kujiunga na OIC, kwa nini unakwepa kutoa maoni yako katika hili? Na unapozungumzia Saudi Arabia na UAE Ukristo hauruhusiwi adhabu ya ni kifo. Zanziba kwenyewe muislam akimsilimisha mkristo ni sherehe lakini Mkristo akibadirisha muislam kuwa mkristo kanisa linachomwa moto. Hapa mkuu unatumia ukali kjenga hoja yako ili kuficha hali halisi jinsi waislam wanavyo wachukulia wakristo. Lengo langu hapa ni kutaka wakristo na waislam waendelee kuishi kwa upendo na undugu uliodum miaka 50 tangu uhuru. chokochoko zipo na umeziona lakini unazifumbia macho kwa sababu ya udini wako.
 
baada ya maoni yetu sisi Watanzania kukusanywa na kigezo cha umri kwa mgombea urais kurekebishwa, na hii ndiyo itampa Zitto nafasi ya kugombea, hilo ndio tatizo, ki ukweli Warioba anamkubali Zitto, Salim nae pia, nasi baadhi yetu tunamkubali pia, tatizo nadhani ndiyo liko hapa, hili la kuiona tume siyo sijui waislam wengi, zenji wako wachache hiweje wawe sawa na bara ni kama porojo tu. kwangu mimi Zitto ni Reformer (samahani kama nitakuwa nimeenda mbali ) kwa nchi yetu ilipofikia sasa tunamuhitaji kiongozi kama Zitto
 
Ama kweli composition ya tume ya katiba imezua kizaazaa.

Ngoja kwanza niendelee kuwa msomaji tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…