DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 31,676
- 81,651
Eti 😁😁Ponjoro yaani Gwajima Leo amefanya Weekend ichangamke
Usirudie kwenda kwenye taa, umeona sasa!Unanikumbusha ninapo piga pombe zangu nikienda kwenye mwanga wa taa natapika yote🤔
Braza chas sisi tuliiheshimisha kwa kutia masters za ugoko ila wewe upo upo tu 😂😂😂Usirudie kwenda kwenye taa, umeona sasa!
Kaka angu wa CHAS😂
Hahahaha, tunashindia maandazi siku hizi heshima itoke wapi? HESLB wameminya mikopo kakaBraza chas sisi tuliiheshimisha kwa kutia masters za ugoko ila wewe upo upo tu 😂😂😂
Happy birth day kamandaToday is my born day! happy born day to me Jr™
Sisi ni wachokonozi kwa maana ya kutaka kujua tu yale yaliyofanyika sirini yawekwe hadharani... Lakini ndani ya chama chao wako wachokonozi wanaotaka majipu yatumbuliwe na usaha wa akina ponjoro uwachafue wote
Ponjoro hayuko pekeyake na hatakubali kukaa kimya... Wameshamchokonoa elimu yake, hawatsishia hapo.. Watachokonoa kila kitu.. Case study ya bashite!
Kina Sendeka wanapoongea kwa uwazi vile ujue fukuto la huko ndani limakaribia nyuzi 1000
Sasa June hii wachokonozi wataongezeka mara dufu na wengi kati yao watatoka kwao
Majipu yamezidi sana.. Yasipotumbuliwa.. Yatavia na kuota kwingine kubaya zaidi
Hiyo ndio shida ya jipu.. Ukishindwa kulipasua linapotea na kuibuka kwingine. Hofu ni kwamba mtumbuaji anaweza asitumie ganzi
www.facebook.com
Hahaha umejuaje nilikua chas kwanza 🤣🤣🤣 kweli pombe sio chaiHahahaha, tunashindia maandazi siku hizi heshima itoke wapi? HESLB wameminya mikopo kaka
Kwenye Hilo la utekaji, “ Roma mkatoliki” angekuwa source of very reliable information kwani anawajua Bashite na wengine waliomteka!Huyu jamaa nitakuja na simulizi yangu kwake muda utakapotimia
Karibu kundini mkuu. Isijekuwa unazuga lakiniTuchokonoe mpaka amwage 🔥
Nazuga kufanya nn?Karibu kundini mkuu. Isijekuwa unazuga lakini
Kundini kwa watetezi wa haki, demokrasia na Tanzania yenye kuheshimu utu na uhai wa raia woteNazuga kufanya nn?
Kundini gani?
Mimi sio ccm, mm sio chadema.
Roma angekuwa under protection bc angebaki bongo kuishi Ila yupo USA jiulize kwann?Kwenye Hilo la utekaji, “ Roma mkatoliki” angekuwa source of very reliable information kwani anawajua Bashite na wengine waliomteka!
After all wherever he is he is under protection hakuna wa kumdhuru!