Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 44,121
- 104,665
🤝Kundini kwa watetezi wa haki, demokrasia na Tanzania yenye kuheshimu utu na uhai wa raia wote
Siku zote natetea haki, ila mm siipendi demokrasia, naheshimu watu wote.
🤝Kundini kwa watetezi wa haki, demokrasia na Tanzania yenye kuheshimu utu na uhai wa raia wote
CCM wajanja sana aisee; nyumbu wooooote Sasa kwa Gwajima.....wamesahau mpaka terehe ya mahakamani ya bwana wao lissu na uchiba wake.
Ukifika mwezi September au Oktoba utamsikia Samia pale Kawe, kama JPM, "Nileteeni Gwajimaaaaa!". Kama inavyotarajiwa, nyumbu watageukia tena kauli huko na kumsahau chiba wao tena......watamrejea tena kumpa pole baada ya kutangazwa kura zake za 2%.
Sawa kakaThanks bro.. Niko kwa Kasongo nikirudi please tuonane