Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,120
- 111,793
Heri ya kumbukizi ya kuzaliwa mkuu, ishi sana mpaka maponjoro yateseke.
Me nataka Samia atoke tu hadharani atuambie Nani anateka na kuua Watanzania na anawachukulia hatua gani?
Keshasema magwajima yaachwe nje. Hawezi kufanya hivyo.Me nataka Samia atoke tu hadharani atuambie Nani anateka na kuua Watanzania na anawachukulia hatua gani?
Happy more years Mkuu, miezi ya kula series mpaka October.Sasa June hii wachokonozi wataongezeka mara dufu na wengi kati yao watatoka kwao
Majipu yamezidi sana.. Yasipotumbuliwa.. Yatavia na kuota kwingine kubaya zaidi
Uishi sana mtaniToday is my born day! happy born day to me Jr™
Sisi ni wachokonozi kwa maana ya kutaka kujua tu yale yaliyofanyika sirini yawekwe hadharani... Lakini ndani ya chama chao wako wachokonozi wanaotaka majipu yatumbuliwe na usaha wa akina ponjoro uwachafue wote
Ponjoro hayuko pekeyake na hatakubali kukaa kimya... Wameshamchokonoa elimu yake, hawatsishia hapo.. Watachokonoa kila kitu.. Case study ya bashite!
Kina Sendeka wanapoongea kwa uwazi vile ujue fukuto la huko ndani limakaribia nyuzi 1000
Sasa June hii wachokonozi wataongezeka mara dufu na wengi kati yao watatoka kwao
Majipu yamezidi sana.. Yasipotumbuliwa.. Yatavia na kuota kwingine kubaya zaidi
Hiyo ndio shida ya jipu.. Ukishindwa kulipasua linapotea na kuibuka kwingine. Hofu ni kwamba mtumbuaji anaweza asitumie ganzi
www.facebook.com
Ole wenu watekaji mkajichanganya kumdhuru gwajima......mtarudi zanzibar kwa kuogelea umbwa kabisaToday is my born day! happy born day to me Jr™
Sisi ni wachokonozi kwa maana ya kutaka kujua tu yale yaliyofanyika sirini yawekwe hadharani... Lakini ndani ya chama chao wako wachokonozi wanaotaka majipu yatumbuliwe na usaha wa akina ponjoro uwachafue wote
Ponjoro hayuko pekeyake na hatakubali kukaa kimya... Wameshamchokonoa elimu yake, hawatsishia hapo.. Watachokonoa kila kitu.. Case study ya bashite!
Kina Sendeka wanapoongea kwa uwazi vile ujue fukuto la huko ndani limakaribia nyuzi 1000
Sasa June hii wachokonozi wataongezeka mara dufu na wengi kati yao watatoka kwao
Majipu yamezidi sana.. Yasipotumbuliwa.. Yatavia na kuota kwingine kubaya zaidi
Hiyo ndio shida ya jipu.. Ukishindwa kulipasua linapotea na kuibuka kwingine. Hofu ni kwamba mtumbuaji anaweza asitumie ganzi
www.facebook.com
GWAJIMA akikubandika jina utaenda nalo kaburini huwa halifutiki kamweee..Hbd Jr more life more blessings.
Kuhusu "Ponjoro " hii anayofanya Mzee wa leseni ya Magari Makubwa kaamua kumuua Mende kwa Nyundo sifikirii Kama wataendelea kumchokonoa.
GWAJIMA akikubandika jina utaenda nalo kaburini huwa halifutiki kamweee..
PONJORO kazi anayoo