M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 6,659
- 15,941
Eagerly waiting.Huyu jamaa nitakuja na simulizi yangu kwake muda utakapotimia
Eagerly waiting.Huyu jamaa nitakuja na simulizi yangu kwake muda utakapotimia
👊Mkuu, japokuwa watu wengi humu wananiona mm n ccm Ila sio kweli.Mkuu , japokuwa watu wengi humu wananiona mm n ccm Ila sio kweli.
Mm sio ccm wala sio chadema, mm nasimama kwenye haki.
Happy Birthday Mkuu!Today is my born day! happy born day to me Jr™
Sisi ni wachokonozi kwa maana ya kutaka kujua tu yale yaliyofanyika sirini yawekwe hadharani... Lakini ndani ya chama chao wako wachokonozi wanaotaka majipu yatumbuliwe na usaha wa akina ponjoro uwachafue wote
Ponjoro hayuko pekeyake na hatakubali kukaa kimya... Wameshamchokonoa elimu yake, hawatsishia hapo.. Watachokonoa kila kitu.. Case study ya bashite!
Kina Sendeka wanapoongea kwa uwazi vile ujue fukuto la huko ndani limakaribia nyuzi 1000
Sasa June hii wachokonozi wataongezeka mara dufu na wengi kati yao watatoka kwao
Majipu yamezidi sana.. Yasipotumbuliwa.. Yatavia na kuota kwingine kubaya zaidi
Hiyo ndio shida ya jipu.. Ukishindwa kulipasua linapotea na kuibuka kwingine. Hofu ni kwamba mtumbuaji anaweza asitumie ganzi
www.facebook.com
Hapoy birthday legendariToday is my born day! happy born day to me Jr™

Kwa kauli za leo tunaitaga mwana ukome. Wote wanaufyata rasmi leo naa hutasikia kibajaji wala boda boda wala IST itafunua kinywa chake.Hbd Jr more life more blessings.
Kuhusu "Ponjoro " hii anayofanya Mzee wa leseni ya Magari Makubwa kaamua kumuua Mende kwa Nyundo sifikirii Kama wataendelea kumchokonoa.
🤝Asante sana mkuu wangu🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Sikiliza kwa makini hii.. Hapo huhitaji degree kumjua mlengwa
View: https://www.facebook.com/share/v/1Hif2qRPFA/?mibextid=xfxF2i
Kaka leo naunga kauli yako mkonoKwa kauli za leo tunaitaga mwana ukome. Wote wanaufyata rasmi leo naa hutasikia kibajaji wala boda boda wala IST itafunua kinywa chake.
Tunaweza kupuuzia haki za watu zinaponyang'anywa kwasababu tunaona halituhusu ukweli ni kuwa wote tupo katika njia moja, tushirikiane kuleta haki.🙏🏿🙏🏿🙏🏿👌🏿Dah kuna mda nikiwakumbuka waliotekwa na kumalizwa napatwa huzuni sana, vipi ingekuwa ni mimi vipi wangekuwa ndugu zangu wa karibu, aendelee kuchokonolewa atayatema tu.
Lecturer mmoja aliingia darasani, akamwambia mwanafunzi mmoja "toka nje sitaki kukuona darasani", akaanza kujitetea kuwa hajafanya kosa lolote, lecturer akasisitiza atoke nje. Kisha lecturer akaanza somo kwa kuuliza "sheria ni nini?", mwanafunzi mmoja akajibu ni taratibu za nchi, mwingine akasema ni taratibu za kusimamia haki
Lecturer akasema wote mnaweza kuwa sawa lakini nani mwenye jukumu la kutetea haki na sheria, wakajibu "serikali","wanaharakati","vyombo vya dola" mwingine akasema "kila mtu". Lecturer akasema uko sahihi ni jukumu la kila mtu lakini kwanini hamjamtetea mwenzenu nilipomtoa darasani mlikaa kimya, ni kwasababu halikuwakuta nyie hili jambo.
Tunaweza kupuuzia haki za watu zinaponyang'anywa kwasababu tunaona halituhusu ukweli ni kuwa wote tupo katika njia moja, tushirikiane kuleta haki.
Yah mkuu, kila upande una faida na hasara zake.Sure bro, na hata upande wa chadema tuliwashuhudia njaa 55
Sure broYah mkuu, kila upande una faida na hasara zake.
Hakuna chama ambacho kipo perfect 100% kwa jamii n bc tuu wengine bado hawajashika dola hvy hatuwezi kuwajua vzr tabia zao