Tumboo kanipagawisha

Tumboo kanipagawisha

hahahah mi nimegeuka mlozi tena nyie pendaneni angalia usizidishe kipimo lol

Yeyote anaye chonga chonga kwenye mapenzi ya watu ni mlozi tu. Awe mwananke au mwanaume. Hususani nyie wanawake mnachonga kweli.
 
Nimekumiss switie!

umeona kali ya muke ya kaizer hap juu? lol..

hahahahaa nimeona DEMBA siku hizi hakamatiki lol nimemiss kuanzishiwa thread ya malovee u know
 
Last edited by a moderator:
two mboo naona umepata one more mboooo sasa hivi jiite threemboo... hahahahaaa
 
Kwa maana siku ile mwana wa adam atakaposhuka kutoka mawinguni, kwa hakika majina haya yatajitenga naye!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom