Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,969
Aise ndege wafananao huruka pamoja. Mtotio tumboo kanifanya nisisikie sauti ya mtu yeyote.
Sauti yake nyororo inanifanya nimtafakari kila wakati.
Hakika Sikukosea kuwa na mpenzi huyu.
Enyi mnao mendea warembo wa wengine tafakarini kwanza mtoto tumboo anapendeza kwa nini. Anafuraha kila siku why? Sio kujiingiza kichwa kichwa kwenye ngome za watu tumboo I LOVE YOU.

Last edited by a moderator: