Tumalize Ubishi: Naombeni Ushahidi wa Uuzwaji wa Bandari

Lord denning

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
13,226
26,048
Kama kawaida yangu Lord Denning a.k.a kiboko ya wafiwa a.k.a kiboko wa ufipa fc na kiboko ya wapotoshaji leo nakuja kwenu wale mnaodai Rais ameuza Bandari zetu

Swali langu kwenu.
Upo wapi uthibitisho/ ushahidi wa Bandari zetu/ yetu kuuzwa?

Msisitizo: Sitaki longolongo , naombeni uthibitisho wa Bandari zetu kuuzwa!
 
Wee jamaa mwehu! Ukinunua kiwanja unondoka nacho nyumbani? Hati ya mauziano ndio inayokupa uhalali wa umiliki kutoka kwa muuzaji kwenda kwa mnunuaji!

Mkataba wa DPW aliokwisha kuusaini huyu SSH na kupitishwa na bunge, hapa tunapoongea bandari ni mali ya Dubai!

Tunachotaka serikali ifanye ni kuuvunja kabla ya Dubai kuanza utekelezaji na kama ni fidia itakuwa ni kidogo kuliko akishaanja utekelezaji!
 
Wee jamaa mwehu! Ukinunua kiwanja unondoka nacho nyumbani? Hati ya mauziano ndio inayokupa uhalali wa umiliki kutoka kwa muuzaji kwenda kwa mnunuaji! Mkataba wa DPW aliokwisha kuusaini huyu SSH na kupitishwa na bunge, hapa tunapoongea bandari ni mali ya Dubai! Tunachotaka serikali ifanye ni kuuvunja kabla ya Dubai kuanza utekelezaji na kama ni fidia itakuwa ni kidogo kuliko akishaanja utekelezaji!
Huo ndo ushahidi wako wa uuzaji wa Bandari?

Takataka kabisa wewe!!
 
Kama kawaida yangu Lord Denning a.k.a kiboko ya wafiwa a.k.a kiboko wa ufipa fc na kiboko ya wapotoshaji leo nakuja kwenu wale mnaodai Rais ameuza Bandari zetu

Swali langu kwenu.
Upo wapi uthibitisho/ ushahidi wa Bandari zetu/ yetu kuuzwa?

Msisitizo: Sitaki longolongo , naombeni uthibitisho wa Bandari zetu kuuzwa!
Sasa ndiyo imeweka ujinga wako hadharani! Ni nafuu kumfundisha chizi kuliko wewe!
 
Kama kawaida yangu Lord Denning a.k.a kiboko ya wafiwa a.k.a kiboko wa ufipa fc na kiboko ya wapotoshaji leo nakuja kwenu wale mnaodai Rais ameuza Bandari zetu

Swali langu kwenu.
Upo wapi uthibitisho/ ushahidi wa Bandari zetu/ yetu kuuzwa?

Msisitizo: Sitaki longolongo , naombeni uthibitisho wa Bandari zetu kuuzwa!

View: https://youtu.be/ik2PWn6qjh0

Kwamba ni tawi la CCM na genge la wanasheria wanaosaka uteuzi wapo kimatumbotumbo tu.

Kwa kinachoendelea nchini na kinachowapata wenzao....

Sikutarajia kuwaona pale wakimkenulia huyo mtoa teuzi...kila mmoja anawaza uteuzi tupu!

Nchi hii inao wasomi wa ajabu sana
 
Kama kawaida yangu Lord Denning a.k.a kiboko ya wafiwa a.k.a kiboko wa ufipa fc na kiboko ya wapotoshaji leo nakuja kwenu wale mnaodai Rais ameuza Bandari zetu...
uthibitisho gani tena unaoutaka kujua kuwa bandari haijauzwa tangu siku ya kwanza umevuja mijadala imekuwa mingi sana hapa jf

chawa Wenzako wameshatoka huko zamani sana kwenye kuutetea mkataba huu vifungu vyenye utata walishashindwa kujibu sasa njia iliyobakia ni kutumia dola we leo sijui wewe pengine unamkataba mwingine tofauti na huu wanaozungukanao wakina chongolo
 
uthibitisho gani tena unaoutaka kujua kuwa bandari haijauzwa tangu siku ya kwanza umevuja mijadala imekuwa mingi sana hapa jf

chawa Wenzako wameshatoka huko zamani sana vifungu vyenye utata walishashindwa kujibu sasa njia iliyobakia ni kutumia dola we leo sijui wewe pengine unamkata mwingine tofauti na huu wanaozungukanao wakina chongolo
Kuna shida gani ukapunguza hayo maneno na ukaweka uthibitisho wa huo uuzwaji wa Bandari?
 
Back
Top Bottom