Nimeoneshwa ktk ndoto kuna msiba wa mtu-mke mkubwa sana unakuja,Mbona TANZIA hujaiweka kwenye list??
HahaΓ , awekwe kwenye list nayeye,.. anatuletea Mambo ya pwani sisi, tunamsubiri oktoba tuu.Umemsahau mshangazi wa mjengoni
Huwa nachelewa kulala toka huu mwezi umeanza ili nishuhudie matangazo yakihamishwa ghafla....Nimeoneshwa ktk ndoto kuna msiba wa mtu-mke mkubwa sana unakuja,
Maana yake ni kwamba si vema kukalia kiti cha marehemu kwa muda mrefuππΏππΏππΏππΏIla hizo ndizi zinaita... sema tu umekosea kuzifunga kwenye gazeti. Mwalimu wa afya aliniambia si afya kula mandazi yaliyofungwa kwenye gazeti!
Kiki ya chaumma imebuma. No reform no election.