Mima white cute
JF-Expert Member
- Nov 24, 2017
- 740
- 1,305
Ni ngumu kupata ajira watu wote tukaajiliwa muda mwingine tunatakiwa tujiongeze na hakuna kitakachoshindikana Leo naomba nitoe tumaini jipya kwako ww kijana unayehangaika kuitafuta kazi bila mafanikio.
Ni hivi achana na elimu ya kujifunza darasani hivi ushafikilia Computer inaweza kukupa ajira ukajiajiri bila kuwa tegemezi.kama tunavyoelewa technolojia inavyozidi kukuwa na mambo yanazidi kubadilika zamani tulizoea kusoma computer micro softword publisher power point excel na zingine lakini wazungu hawajatuacha nyuma wakatuongezea na nyingine kuna adobe illustractor Photoshop page maker na nyingine nyingi nisiende mbali niishie hapo kwenye hizo tu.
Poteza muda wako wa miezi mitatu kama kichwa chako chepesi utaelewa nenda kasome illustractor na Photoshop zipo nyingi bila nimeona niongelee hizi mbili jifunze jinsi ya kutumia hizo maana hutafundishwa kufanya kazi isipokuwa ukizijua ndio akili yako utaiongeza na kuweza kufanya vitu vilivyo bora katika kazi zako.Katika kitu ambacho hamjakifahamu ni hivi mambo ya printing yana kazi nyingiii sanaaaa Tena sana kuanzia kwenye viwanda mashuleni na maofisini inshort kila kona.
JINSI YA KUJIAJIRI.
Andaa kazi zako tengeneza logo Azako tofauti tofauti hakikisha usiige kwa MTU kuwa mbunifu baada ya hapo anza kuzunguka baadhi ya ofisi jielezee jitahidi uwe na lugha ya ushawishi lengo sio kwenda kuajiliwa lengo ni kutafuta kazi ya kile unachokifanya.unajua matokeo yake utakutana na hivi katika ofisi kazaa utakutana na hapo hivi tulikuwa na shida na lisiti labda hebu nitengenezee kitabu cha lisiti atakupa data baada ya kulizika na kazi zako na ukipokea kazi jitahidi kuwa mbunifu...baada ya hapo utatengeneza sample yako kimoja ukimuonesha anakupa kazi bila hapaara nyingi ukipata kazi usitegemee akupe yeye kabla ya kufikisha kazi ww utaangalia utaratibu wa kupata pesa hata kwa kuazima baada ya kufikisha kazi unachukua chako unarudisha pesa ya watu na faida yako unachukua.
Anza sasa KUJIAJIRI .
Ni mtazamo tu..muwe na jioni njema