tungatagaga
JF-Expert Member
- Aug 18, 2024
- 711
- 966
Wengine tunakerwa na kampuni za mitandao kwa kutupa hongera kwa kazi tusizozijua.Aidha hatufahamu kwa Nini sms za kibiashara zinaingia mara tu ya kuweka salio.je hizo sms zilikuwa wapi tunapoishiwa Salio? Ina maana ni sehemu ya gharama ya mteja.Tunahitaji ufafanuzi kwa wanaolielewa jambo hili