Tuliwaambia Israel hawaiwezi Hamas, kiko wapi sasa?

Tuliwaambia Israel hawaiwezi Hamas, kiko wapi sasa?

Israel unayoisemea imeshambulia kanisa september 2023 na wanasema hawamtambui Yesu.
Pia mzozo wa Middle east sio wa kidini.
Occupied East jerusalem kila leo makanisa yanavunjwa kupisha ujenzi wa masinagogi na kupanua makazi ya Israel settlers.
Udini ukiuendekeza utakutoa akili.
Anafikiri Wayahudi ni wakristo wenzake,hawa viumbe tutawaelimisha mpaka lini aisee?
 
Occupied East jerusalem kila leo makanisa yanavunjwa kupisha ujenzi wa masinagogi na kupanua makazi ya Israel settlers.
Udini ukiuendekeza utakutoa akili.

Tupatie uthibitisho wa unacho kisema. Link?
 
Niliwaambia tokea mwanzo kuwa Israel hawaiwezi Hamas kiko wapi?

Malengo yalikua ni kuifuta Hamas jee wamefanikiwa?

Malengo yalikua ni kuiteka Gaza yote kwa muda wa wiki tatu tu kiko wapi?

Malengo yalikua ni kuweka utawala wao Gaza na kuwafurusha wapalestina wote jee wamefikia malengo?

Malengo yalikua ni kuwaokoa mateka?Hakuna hata mateka mmoja ameokolewa!! Na wanajiita jeshi bora

Kama intelijensia ya Mossad imefeli kwenye eneo la Gaza lenye Size ya Kigamboni jee wataziweza nchi nyingine?

Unajua inashangaza sana, ajabu kweli Kweli jeshi linalopewa kila kitu kupigwa na Hamas ambao wanatumia silaha dhaifu??

Gaza ambayo imekua chini ya ukaguzi na mzingiro mkali wa Israel 24 hrs 7 days kwa miaka 17 sasa kuanzia angani hadi ardhini wameshindwa kabisa kumuokoa hata mateka mmoja?

Walichofanikiwa ni kuuua raia tu makambini na kulipua mahosptali
85 PC ya Gaza IPO chini ya Israel waliokufa ni 25k!! Na Bado!?? Hivi Huwa mnawaza kutumia kiungo Gani mwilini!?? Hivi Gaza inafaa tena!?
 
Israel unayoisemea imeshambulia kanisa september 2023 na wanasema hawamtambui Yesu.
Pia mzozo wa Middle east sio wa kidini.
Makanisa yaliyopo GAZA yanatumiaka na HAMAS.

Acha yashambuliwe tu.

Kanisa ambalo halitakiwi kuharibiwa ni kanisa la kiroho.
 
yoyote anayeidharau na kuipuuza israel na wayahudi ( taifa teule ) la Mungu hana akili na huenda akawa anaugua uwendawazimu bila ya yeye kujua au kujijua

long live israel, jews and hebrews
Nafikiri wewe ndo mwendawazimu. Kila taifa ni la Mungu. Hakuna nchi, ardhi wala taifa lililojiumba lenyewe.

Wote tumekuja duniani na kukuta Mungu ameiumba dunia. Ambapo katika hiyo dunia kuna mataifa mbali mbali ikiwemo Tanzania.

Kutupa vya kwenu kwa sababu ya kuabudu na kupapatikia vya wenzako, huo ni ugonjwa wa akili. Unatakiwa upimwe haraka kabla tatizo halijawa kubwa.
 
Bila matusi huwezagi kujenga hoja
Usitumie nguvu kubwa sana kwa vitu visivyokua na impact ya moja kwa moja kwako

Israel ina wabunge mpaka warabu na kuna warabu waislamu wana-uraia wa israeli
Mtu yyt mwenye Imani kuwa akizini , akiua akilawiti, kala rushwa, akibaka kisha weekend akaenda kanisani na kumkabidhi DHAMBI ZOOOTE HIZO YESU basi uwezo wa kuelewa kitu chochote kibaya kuhusu wayahudi HAIWEZEKANI.

Yaani Piga ua.

Hata akimkuta myahudi analawiti mtoto wake Atasema macho yake hayako sawa labda yule myahudi alikuwa anamfanyia tu maombi matakatifu mwanae au anamtoa majini yaliompitia ya waislamu .

Kwa imani yenu Hilo ni TAIFA TEULE .

Toka lini Taifa teule LIKAKOSEA?
[emoji1787][emoji1787]
 

Attachments

  • Screenshot_2024-01-23-00-16-48-59_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
    Screenshot_2024-01-23-00-16-48-59_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
    105.7 KB · Views: 19
  • Screenshot_2024-01-23-00-16-00-85_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
    Screenshot_2024-01-23-00-16-00-85_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
    111.8 KB · Views: 25
Makanisa yaliyopo GAZA yanatumiaka na HAMAS.

Acha yashambuliwe tu.

Kanisa ambalo halitakiwi kuharibiwa ni kanisa la kiroho.
Nimekuwekea ushahidi kule katizame makanisa ya Jerusalem yakivunjwa.
Pia mzozo wa Palestina na Israel ni wa ardhi sio dini.
Uwe hata mpagani ila kama wewe sio myahudi kazi unayo.
 
85 PC ya Gaza IPO chini ya Israel waliokufa ni 25k!! Na Bado!?? Hivi Huwa mnawaza kutumia kiungo Gani mwilini!?? Hivi Gaza inafaa tena!?
Hiyo %85 ya gaza iliyopo chini ya Israel ni ipi labda leta uthibitisho tuone.


Alafu lini mauaji ya raia yakatumika kama kuashilia cha ushindi vitani?

Kama hamna elimu na mambo acheni kujitia ujuaji wa kifala.
 
Jeshi linalo tegemea mbinu unayo isema ww basi hilo halina sifa ya kuitwa jeshi bali ni kikundi cha wahuni.
Mpinzani wa kijeshi mwenye kuamini kuwa Wayahudi wote duniani wanapaswa kuuwawa (kwasababu allaha ameagiza hivyo) wala hupaswi kupigana nae mwa mbinu za kijeshi ambazo ni conventional.
 
Ushahidi upo wazi kuwa Israel inaishi kwa huo mtindo au unataka tukuletee ushahidi???
Mtu yyt mwenye Imani kuwa akizini , akiua akilawiti, kala rushwa, akibaka kisha weekend akaenda kanisani na kumkabidhi DHAMBI ZOOOTE HIZO YESU basi uwezo wa kuelewa kitu chochote kibaya kuhusu wayahudi HAIWEZEKANI.

Yaani Piga ua.

Hata akimkuta myahudi analawiti mwanae atasema "TAWILE BWANA " mtoe majini .

Toka lini Taifa teule LIKAKOSEA?
[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom