Tangu gesi igundulike huko mtwara, nilidhani maisha yatakuwa nafuu lakini imekuwa kinyume chake;
1. Niliamini upatikanaji Wa gesi utapunguza bei ya Umeme nchini kumbe hamna.
2. Niliamini upatikanaji Wa gesi huko mtwara utatoa Umeme Wa uhakika lakini wapi kukatika kupo palepale.
3. Niliamini gesi tutauziwa bei ndogo zaidi au kuunganishiwa mabomba ya gesi majumbani lakini wapi.
4. Niliamini upatikanaji Wa gesi utashusha bei ya bidhaa kama cement; mondo n.k kwakuwa viwanda vitatumia gesi kuzalisha lakini wapi.
*************************
La gesi limepita, sasa tupo kwenye utawala huu mpya wenye nguvu kubwa katika kukusanya kodi;
Kodi sasa inalipwa ipasavyo ni jambo la kufurahia!
Nakumbuka kipindi cha nyuma tuliuziana bidhaa pasipo EFD wala nini, na maisha yalisonga kibishi!
Sasa wakati huu Wa kulipa kodi niliamini maisha yatakuwa bora zaidi.
1. Niliamini maisha yatakuwa nafuu kwakuwa watu wanalipa kodi kumbe wapi
2. Niliamini vyakula vitashuka bei lakini ndiyo kwanza vinapanda.
3. Niliamini benk sasa mikopo itapatikana lakini ndio kwanza benk ziaelekea kufungwa.
4. Niliamini ajira nje nje lakini ndio kabisaa makampuni yanapunguza watu.
5. Niliamini elimu itakuwa bora lakini ndio kabisaa.
6. Mijengo mingi imesimama sasa haiendelei, waliokutwa wapo kwenye RINTA wamenasa, walioishia kwenye MSINGI wamenasa, waliokuwa wanasubiri Kupaua wamenasa, waliokuwa wanaweka milango wamenasa, yaani hali imekuwa ngumu hadi juzi nimemtembelea ndugu Yangu aliyeamua kuhamia kwenye Nyumba yake hivohivo haijapauliwa akilala anahesabu nyota nyota! (Ilinibidi nicheke japo nilimchangia Bati aezeke japo vyumba kadhaa).
NAOMBA KUJUZWA MBONA KILA TUNALOFANYA HALILETI UNAFUU WA MAISHA; KWANI TUNAKOSEA WAPI?
********************************