Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,320
- 18,599
So mkuu unanishauri niende saut kupiga Masters yangu ? Maana nataka GPA kubwaMm ndio mwalimu wao job hao wenye GPA kubwa[emoji123],kila kitu wanauliza,hata cha kujiongeza tu utaulizwa,"flani hapa tunafanyaje,ikiwa hv inakuaje n.k na hapo tumeajiriwa mwaka mmoja[emoji85]
Kwa vyuo vyetu TZ na utoaji wa elimu vyuoni ulivyo, kuna mazingira huwa nakosa connection ya gpa vs utendaji kazi/maarifa ya mwenye hiyo gpa kubwa...
Gpa pia hutegemea umesoma chuo gani,kuna vyuo vinagawa hizo gpa kama njugu(no ku-fail kwenye mitihani,no sup,no carry over kwa wanafunzi,hata kama watakuwepo wanahesabika,haswa private institutions mf. vyuo vya kidini...
Hakuna schoola of architecture pakle ardhi university,au ulitaka kumaanisha derpartmentHeshima yenu wakuu..
Tuliopata GPA za 3.5 na kuendelea tukutane hapa kubadilishana mawazo positively. Je GPA kubwa imekusaidia baada ya maisha ya chuoni na kwenye kutafuta riziki? Ni zipi fursa ulizozipata na zilizokufaidisha kutokana na GPA yako kubwa?
Binafsi nilipata GPA ya 4.1 from the school of Architecture - Ardhi University. Lakini GPA haijawahi kunisaidia lolote kwenye fursa za utafutaji, maana mimi ni mjasiriamali tu.
Karibuni wadau.
Ilikuwepo enzi zetu ikiitwa school of Architecture amd design SADE... nasikia kwa sasa zimebadilishwa badilishwa na kuunganishwa na wanaosoma BE kama sikosei.. mimi muhenga mdogo wanguHakuna schoola of architecture pakle ardhi university,au ulitaka kumaanisha derpartment
Ili tujue faida na hasaraMkutane ili iweje?
Mtu Kama ana akili ana akili huwezi lazimisha mwenye akili ya GPA kubwa ashuke awe na GPA ndogo iwe inamsaidia au haimsaidiiIli tujue faida na hasara
Kwakweli GPA kwa upande wangu imenisadia sana. Katika dunia hii ya ushindani, GPA (kutoka vyuo vinavyoheshimika) ndio kigezo kikuu kinachotumika kukutofautisha wewe mwenye GPA kubwa na yule alieye na GPA ndogo kwenye soko la ajira. Endapo wote mna vigezo vinavyifanana, degree zinazofanana, umri unalingana, na wote ni fresh from school, mwajiri anahamia kwenye kuangalia GPA, huu utaratibu ndio umekuwa ukitumika hasa kwenye mashirika makubwa na taasisi zinazojielewa.Mtu Kama ana akili ana akili huwezi lazimisha mwenye akili ya GPA kubwa ashuke awe na GPA ndogo iwe inamsaidia au haimsaidii
Lengo Nini kuwa watu wote wafanane akili au? Ukiwa akili huna utaambulia GPA ndogo Ni halali yako ikusaidie isikusaidie ndio kiwango chako cha uelewa kilipoishia huyo wa kubwa mwache naye na akili zake
GPA ni kionyesho Cha kuwa huyu mtu ana akili.Kwenye eneo lipi la maisha Ni yeye anatakiwa kuligundua na ku li persue.
Sema GPA kubwa huhitaji kazi kubwa za kutumia akili ambazo Ni chache .Nyingi ziko za vi GPA vidogo ila si za maana Sana
GPA kubwa akifanikiwa kupata kazi ya kulingana na GPA yake Ni Moto wa kuotea mbali
Life is a competition Popote ulipo unatakiwa ku aim high iwe chuo au popote kupata vya Chini kunatowa meseji kubwa Sana kuwa you are not ambitious na huko competitive
Ndio maana mashirika ya kimataifa na makampuni ya kimataifa huwa yanataka best brains sio akina Mr and Mrs evarage akina Low GPA
High GPA huandaliwa kwa high managerial posts
Ushauri wangu GPA kubwa ukiona kazi hamna saka scholarship ziko.kibao nje ya Nchi na hutaka wenye GPA kubwa.Utasoma huku unalipwa posho au kuajiriwa kufundisha huku unasoma digrii zako za juu badala ya kukaa kushindana humu na vijinga vilivyopata GPA ndogo
Aise jamaa yangu basi wewe ni tajiri sana.Nilikuwa Muhimbili, kozi naomba iwe confidential.
Umande wa miaka 4 nimeukanyaga haswa hapo MUHAS
Mkuu keyboard inatusitiri sana.Aise jamaa yangu basi wewe ni tajiri sana.
Mkuu umesoma usanifu majengo halafu unafanya ujasiriamali..!! Ujasiriamali wa nini mkuu?Heshima yenu wakuu..
Tuliopata GPA za 3.5 na kuendelea tukutane hapa kubadilishana mawazo positively. Je GPA kubwa imekusaidia baada ya maisha ya chuoni na kwenye kutafuta riziki? Ni zipi fursa ulizozipata na zilizokufaidisha kutokana na GPA yako kubwa?
Binafsi nilipata GPA ya 4.1 from the school of Architecture - Ardhi University. Lakini GPA haijawahi kunisaidia lolote kwenye fursa za utafutaji, maana mimi ni mjasiriamali tu.
Karibuni wadau.
Aise ni kweli mkuu ..hiz keyboard zinatusitiri sana sisi ma hustlersMkuu keyboard inatusitiri sana.
Nimehitimu kipindi cha mwendazake naganga njaa tu kitaa mkuu
We mwana utakuwa DIT boy dadeki zakooo........hahahaha Billz tumezurura sana hapo ,kipindi chetu sie pale Billz ukiwa na line ya zantel ni tiketi tosha Kuna kitu ilikuwa inaitwa epic nation mamaee........Aaah! Bills kitambo hicho ya moto.. hapo Joly palikuwa pamenoga, mala moja moja home wakituma vi hela baada ya kuwadanganya umeibiwa laptop, safety booty na overkoti, unadumbukia Las Vegas pale.. ππππ.. kweli kutesa kwa zamu .. Utatamani vipi ajira wakati unaweza ku create ajira.. ππ.. nipe chaka bwanaa weeee huku njaaa kitaaa si unajua 2.5 hata wanaitenga trancrip imejaaa makalai tu πππππ
StanleyRuta... na wewe ni architect??? Maana nimesoma darasa moja na mshkaji anaitwa stanley Ruta stanleyRutaWe mwana utakuwa DIT boy dadeki zakooo........hahahaha Billz tumezurura sana hapo ,kipindi chetu sie pale Billz ukiwa na line ya zantel ni tiketi tosha Kuna kitu ilikuwa inaitwa epic nation mamaee........
Hapana mkuu mimi ni Civil Engineer......StanleyRuta... na wewe ni architect??? Maana nimesoma darasa moja na mshkaji anaitwa stanley Ruta stanleyRuta