Think tank ya maccm ni humphrey polepole na bashiru allyLeo wanarudi kulekule tulikosema sie. Kweli CCM ni kikundi cha wahuni tu. Hakuna think tank wa kweli mule
Think tank ya maccm ni humphrey polepole na bashiru allyLeo wanarudi kulekule tulikosema sie. Kweli CCM ni kikundi cha wahuni tu. Hakuna think tank wa kweli mule
Ccm haiwezi kukaa pembeni yenyewe kama yenyewe, ni lazima kuwe na sadaka ya damu ili kuwafukia mazima.Ndo maana tunasema kwa maendeleo ya kweli ya Watanzania na Tanzania ni lazima CCM ikae pembeni na hii nchi iongozwe na akili mpya yenye mawazo chanya na uelewa mpana wa dunia hii na sera bora na za uhakika.
Tatizo ni kulewa sifa za kijingaHuyu wa Zanzibar ingawa kaiba ushindi wa mwenzake ila anaonekana ni mtu mwenye exposure na angalau anajua dunia inavyofanya kazi. Huyu wa kwetu huku ni balaa.
Kayafa ni mshamba, mwenye wivu na kijicho. Aliumia sana juu ya habari za yesu akihofia amekuja kutwaa milki ya heshima yake.
OK mkuu. Nimeelewa.Mkuu, hakuna mtu anayefuatilia pesa ndogo ndogo let alone kuwa na resources za kufanya hiyo kazi.
Watu kila siku wanatuma pesa bongo na kuingia/kutoka na hela bila kuulizwa lolote.
Mleta uzi na wengine kadhaa wanataka mtu asiulizwe lolote regardless of kiasi jambo ambalo halipo sio TZ tu bali nchi zote.
Mleta uzi katolea mfano wa link ya mtu anaondoka na 200k USD na dhahabu kilo8 airport wanasema eti asiulizwe aondoke tu simply sababu ni zake. Hili haliwezekani hata Mwinyi aseme vp.
Hawa hawa watakuja kulalamika dhahabu inaibiwa huku hawataki ukaguzi airports.
Are there justifications for a revolution?"Those who make peaceful resolution impossible will make violent revolution inevitable" - John Fitzgerald Kennedy.
"It is impossible to predict the time and progress of revolution. It is governed by its own more or less mysterious laws" -Vladimir Illyich Ulyanov "Lenin".
Na ndo mana karibu wote wamefeli kuyatajirisha mataifa yao na kuyafanya kuwa na maendeleo ya kweli na hakikaWajamaa na makomunist wote hawana confidence ya kuongoza matajiri na wasomi thus ni lzm wawashughulikie kwa kuwasomesha namba ili waweze kuwatawala.
Ndo mana hii nchi haiwezi kupata maendeleo ya kweli. Tutaishia kuwa wachuuzi tu wa kupanga vitu barabaraniThink tank ya maccm ni humphrey polepole na bashiru ally
Hatari sana kwa kweliNchi ipo mikoononi mwa limbukeni
Nani kasema watu wasikaguliwe??? Embu kuwa na akili kidogo.Mkuu, hakuna mtu anayefuatilia pesa ndogo ndogo let alone kuwa na resources za kufanya hiyo kazi.
Watu kila siku wanatuma pesa bongo na kuingia/kutoka na hela bila kuulizwa lolote.
Mleta uzi na wengine kadhaa wanataka mtu asiulizwe lolote regardless of kiasi jambo ambalo halipo sio TZ tu bali nchi zote.
Mleta uzi katolea mfano wa link ya mtu anaondoka na 200k USD na dhahabu kilo8 airport wanasema eti asiulizwe aondoke tu simply sababu ni zake. Hili haliwezekani hata Mwinyi aseme vp.
Hawa hawa watakuja kulalamika dhahabu inaibiwa huku hawataki ukaguzi airports.
Lengo lao kuu ni kuwatawala watu na sio kuwaongoza.Nchi zilizoendelea Zina viongozi afrika Ina watawala.Mtawala hawezi leta maendeleo only kwa tumbo lake, familia yake,na wanufaika ( wapambe,kupe, chawa) kwao Jamii sio muhimu.Na ndo mana karibu wote wamefeli kuyatajirisha mataifa yao na kuyafanya kuwa na maendeleo ya kweli na hakika
Lengo lao kuu ni kuwatawala watu na sio kuwaongoza.Nchi zilizoendelea Zina viongozi afrika Ina watawala.Mtawala hawezi leta maendeleo only kwa tumbo lake, familia yake,na wanufaika ( wapambe,kupe, chawa) kwao Jamii sio muhimu.Na ndo mana karibu wote wamefeli kuyatajirisha mataifa yao na kuyafanya kuwa na maendeleo ya kweli na hakika
Umesema vyema nduguLengo lao kuu ni kuwatawala watu na sio kuwaongoza.Nchi zilizoendelea Zina viongozi afrika Ina watawala.Mtawala hawezi leta maendeleo only kwa tumbo lake, familia yake,na wanufaika ( wapambe,kupe, chawa) kwao Jamii sio muhimu.
Last kwenye suala la watu wanaokamatwa na hela ambazo hawajadeclare tungeweza kuweka taratibu hata wanapigwa fine kidogo na kupewa hela zao ambazo wanakuja kuziingiza kwenye uchumi na kutengeneza kodi na ajira.
Kwa akili zako unadhani huwa wanatoaje declaration??? Au hujawai kusafiriNimefuta ngonjera zingine nitajibu kilichobaki.
Lengo la ukaguzi na declaration ni kujua kama hiyo pesa ni safi.
Naona wewe unachotaka ni hata pesa za madawa ziingizwe nchini so long as mwenye nazo atazilipia fine. Hilo haliwezekani.
Mfano kwenye moja ya links zako za mali iliyotaifishwa habari inasema hivi "...huku ikitaifisha dola za Marekani 84, 850 alizoshindwa kuzitolea maelezo baada ya kukutwa nazo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius." Kwa mawazo yako naona ulitaka huyu mtu atoe fine nakuachawa, sio?
Declaration ni kwaajili ya kuangalia uhalali wa mali husika sio chanzo cha mapato. Mali inataifishwa endapo tu muhusika hatoi maelezo au ni mali chafu vinginevyo anarudishiwa mali yake na hapigwi fine hata cent moja.
Aidha kama pesa ni safi kwanini usindwe kutoa maelezo? Hakuna mtu hata mmoja ambaye mali yake inataifishwa bila sababu za msingi. Hakuna.
Utetezi wenu wa pesa chafu iingie nchini kwa tozo ya fine haupo nchi yoyote.
Ni hatua nzuri sema kwenye AML sijui itakuwaje.Tuliwahi kusema humu kwa sera za CCM hii na namna yao ya ufanyaji kazi kamwe Tanzania haitofikia kuwa nchi yenye maendeleo ya kweli ya wananchi na nchi kwa ujumla.
Duniani kote, nchi zilizopiga hatua za kimaendeleo ya haraka ya kiuchumi na ambazo zinachukuliwa kama nchi zenye uchumi mkubwa duniani (Malyasia, Singapore na Thailand) hata siku moja hazikuwai kuwa na sera za kutaifisha hela za watu wanazoingiza nchini kwao.
Nchi hizi hata siku moja hazikuwai kuweka sheria za kibank za kuwabana watu kufanya miamala hasa mikubwa ya kifedha jambo lililopelekea watu wengi kupeleka fedha kwenye nchi hizi na hatimaye fedha hizi zikaleta mapinduzi makubwa kwenye maisha ya wanadamu na uchumi kwa ujumla.
Hapa Tanzania watu wanaojiita kuwa wazalendo, kuanzia mwaka 2015 walianzisha taratibu za kukamata fedha za watu na kuzitaifisha na pia kuweka sheria kali za kudhibiti miamala ya kifedha na matokeo yake tukayaona ndani ya miaka mitano ambapo hela ikawa adimu na watu wengi kupoteza ajira na kukosa fursa za kukopa kwa masharti nafuu kwenye mabenki.
Miradi tunayohangaika nayo Tanzania kama ya treni, miundombinu na masoko ya uhakika yenye hadhi vyote vingeweza kufanywa kwa fedha zinazoingizwa nchini na watu hawa kwa utaratibu mzuri.
Tulipoongea kukemea uporwaji ule wa fedha za wananchi watafutaji watu walituita majina mabovu kuwa nyie wapigaji na wezi Ila baada ya madhara yake kuonekana, leo hii huko Zanzibar wamekuja na hili👇
View attachment 1637873
Kwani Rwanda hakuna AML?Ni hatua nzuri sema kwenye AML sijui itakuwaje.
Tanzania tunafuata sheria za kimataifa ili ku comply na AML, Zanzibar ikifanya hivyo sijui itakuwaje kwa sababu ni part ya Muungano. Rwanda sidhani kama hawana FIU kama ya bongo. Kinachoweza fanyika ni kutengeneza special zone, mnaunda hedge fund, kila mwenye mpunga anauleta hapo then anatoa hela ikiwa legal, yaani tunafanya kama uswisKwani Rwanda hakuna AML?
Kwa akili zako unadhani huwa wanatoaje declaration??? Au hujawai kusafiri
Kama hujui basi Ngoja nikueleze huwa wanajaza vifomu tu na hata ukijaza hawachunguzi. Ni nchi chache sana ndo at least wanaenda na wewe kwenye vyumba na kukuuliza zaidi na watu huwa hawakosi sababu na wanapita nazo. Wanaokamatwagwa huwa wanakuwaga kwenye list zingine mf. Za Interpol au kama ametokea nchi ambazo ni lazima ufanyiwe ukaguzi maalum. Nadhani kama wewe ni mzoefu kwenye kusafiri duniani utakuwa unajua hili.
Wanaposema ameshindwa kutoa maelezo hasa kwa hapa Tanzania wanamaanisha ulikwepa kujaza vile vifomu vyao ambavyo huwa vinagawiwa mkikaribia kutua Dar International Aiport au sometimes mnavikuta kwenye videsk pale. Kwa Tanzania hakuna scenario ya mtu akakamatwa kwa sababu walitilia mashaka alivyojaza fomu.
Nadhani wewe unabisha tu kwa sababu zipo nchi nyingi ambazo unaweza kupigwa fine kwa kutodeclare hata Marekani ipo ivo. Na Mara nyingi Customs and Border Protection wa Marekani huwa wanakupiga fine. Ikitokea wamezichukua basi ujue wana taarifa za uhakika ambazo si Nzuri dhidi yako.
Nafikiri naongea na mtu ambae hana exposure basi Ngoja nikuache tu maana hujui dunia inavyofanya kazi. Hayo mataifa unayoyaona ni matajili leo almost yote hayajatajirika kihalali au kwa pesa halali. Kuna mifumo nchi huwa zinaweka ili zipate fedha nyingi za kufanya mambo yake na huwa zinafanikiwa sana.
Nakushauri fanya utafiti na Soma kuhusu Rwanda na Uganda wanavyouza madini ya Congo kupitia majeshi yao na private firms na hizo hela kuingia kwenye nchi zao. Acha kubishana na akili kubwa zenye exposure
Kumbe unaishi nje ya Tanzania na unaongelea mambo ya Tanzania kama unaishi hapa???Well, I can bet you nimesafiri zaidi yako hata sasa nipo nje ya mipaka ya TZ na nimechukua passport mpya a couple months ago sababu ya zamani imejaa custom stamps.
Kumbe all along unataka serikali ikubali kuingiza pesa chafu nchini, hili haliwezekani at least not openly kiasi cha kujitangaza kabisa. Hizo nchi zote ulizotelea mfano hakuna hata moja iliyojitangaza kukubali kufanya hiyo michezo zaidi ya speculations.
Hakuna mtu hata mmoja ambaye anapita na 5k USD sijui 8k ashindwe kutoa maelezo na kutaifishiwa hata kama hajajaza declaration form. Mimi mwenyewe nimefanya hivyo both USA na TZ. Kama yupo weka ushahidi hapa.
Wote ambao wanashindwa kutoa maelezo kama links zako ulizoleta wanapesa za maana na madini ila bado wanashindwa kutoa maelezo. Mtu anaondoka na 200k USD na 8kg dhahabu, sio hata kuleta nchini bali kuondoka, bado unataka aachiwe, sijui unamtetea vp huyu? Huko shuleni utakua umesomea ujinga.
Umesema nchi zingine wakichukua pesa zako lazima wawe na taarifa maalum, una uhakika gani maafisa waTZ hawana taarifa maalum za wanaotaifisha mali zao? Inakuaje mtu awe na 200k USD na dhahabu hana maelezo? Inamake sense vp kichwani kwako?
USA, ambapo nipo currently, banks hazikubali hata $1 cash mtu mmoja amuwekee mwingine kwenye account. Lenders wakiona kuna deposits kwenye bank statement ambayo haieleweki wanakutosa hata kama ni cent 5. Wakati ulimwengu unazidi kubana wewe upo hapa unatetea pesa chafu.
Endelea kuota Zanzibar itakubali pesa chafu sababu Mwinyi kasema uone kama itatokea unless wafungue bank kuu yao na isiwe kwenye monetary system ya duniani. I rest my case.