Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,354
- 829,591
Wamarekani walitaka kutuaminisha kuwa wao ndio baba wa tech duniani na kwao hakuna kinachoshindikana, kuanzia mwezini mpaka chini ya uvungu wa bahari, wanaimonitor dunia yote kwa ufasaha kabisa, lakini kupotea kwa ndege ya malaysia ni changamoto mpya ya dunia na kwakweli sasa tunaweza kupinga kuwa dunia si kijiji tena. Kisa cha ndege ya malaysia kinashabihiana kwa kiasi fulani na habari za mnara wa babeli.