Tulipodhani tunajua kila kitu

Tulipodhani tunajua kila kitu

Wamarekani walitaka kutuaminisha kuwa wao ndio baba wa tech duniani na kwao hakuna kinachoshindikana, kuanzia mwezini mpaka chini ya uvungu wa bahari, wanaimonitor dunia yote kwa ufasaha kabisa, lakini kupotea kwa ndege ya malaysia ni changamoto mpya ya dunia na kwakweli sasa tunaweza kupinga kuwa dunia si kijiji tena. Kisa cha ndege ya malaysia kinashabihiana kwa kiasi fulani na habari za mnara wa babeli.

Kaka hiyo inshu ya ndege ya Malaysia naifananisha na hadithi za abunuasi. Ulimwengu unadanganywa mchana kweupeee.
 
Yapo mengi sana nyuma ya pazia ambayo ni vigumu kuyaelewa
 
Hawana factory wala hawajawahi kuwa nazo zinazotengeneza ipads...ni kweli bado wako juu but sio sawa na enzi za Clinton...sasa wana enjoy zaidi ni wale 1 percent

sio kweli, ipad zimetengenzwa na mmarekani, sema production ndio inafanyika china kutokana na china kuwa na gharama ya chini ya utengenezaji hususani nguvu kazi. Teknolojia yote ni mali ya mmarekani.
 
Wewe ndege hiyo wanayo hao hao unaowasema hawajakuaminisha.....hao ni balaa.....!!
 
sio kweli, ipad zimetengenzwa na mmarekani, sema production ndio inafanyika china kutokana na china kuwa na gharama ya chini ya utengenezaji hususani nguvu kazi. Teknolojia yote ni mali ya mmarekani.

Apple ni kampuni ya Wamarekani yes..but kampuni yaweza nunuliwa na wajapan au wachina...na ummiliki wa technology ukaisha
 
Can't blame the leaders, our IQ average is one of the lowest in the world, so we are made to believe.

We are simply primitive in our way on thinking, even our curriculum encourage us to be dependents all the way.

Imagine, you blaming the leaders is being totally dependent, your capacity has reached the conclusion that without someone else, a leader in this case, you can do nothing.

I do not blame you, its the way you have been raised and taught all the way, that you are simply dependent on your master, you are nothing on your own.

All through your ancestors life, up to this moment, you have been bombarded with brain washing of the highest caliber incapacitating you to never ever think otherwise. Its a pity, you will pass it over to your siblings.

With due respect, you can not single out an individual citizen and blame him/her of our poor curriculum, would you?.

In the same line of argument, I didn't say that without leaders we can do nothing, to put the records straight, tz is endowed with abundance of opportunities and the only thing we are lacking is a visionary leader, who will spearhead the exploitation of the same for our common good. As you may be aware, the govt machinery whose head is the Hon. President is responsible for preparation and implementation of various policies and if things goes wrong they are the one to blame.
A visionary leader is one who knows where we want to go and how to get there using the way of least resistance. As a rule of thumb, he must be able to tell 'what I and You should do' to get there or how 'what You and I are currently doing' is helping to get there. Unfortunately, we have no leaders let alone visionary leaders!

On the other hand, brainwashing and IQ are the two sides of the same coin! They are just not worth any serious consideration. EQ is now the proven measure of how a person can utilize his/her own ability even without a formal education (repeat, with no formal education) and still make a fortune, and live a long and happier life.
 
Back
Top Bottom