Me I and my self
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 4,084
- 8,861
unaweza jua English hata kama umeishia la tanoMagari ya siku hizi ni computer controlled, inatakiwa awe na uelewa wa kusomea na kuelewa maelekezo kwenye dashboard. Sasa darasa la saba la miaka hii si anafanya miujiza?
Hata jikoni siku hizi kama haujuwi kusoma na kuelewa Kingereza ni kasheshe.
Nawashauri walioishia darasa la saba wote wakipata fursa waende hata shule za watu wazima wakajiendeleze na masomo.
Hata kama hujaenda shule unaweza kujuwa Kingereza.
Subiri kidogo litakukuta rungu la Magufuri hata hiyo unayoringia nakutoa maneno haya itakuishaMagari ya siku hizi ni computer controlled, inatakiwa awe na uelewa wa kusomea na kuelewa maelekezo kwenye dashboard. Sasa darasa la saba la miaka hii si anafanya miujiza?
Hata jikoni siku hizi kama haujuwi kusoma na kuelewa Kingereza ni kasheshe.
Nawashauri walioishia darasa la saba wote wakipata fursa waende hata shule za watu wazima wakajiendeleze na masomo.
Darasa la saba miyee sihitaji kujiendeleza wala lolote elimu niliyonayo inanitosha kutafutia mkate wa kila siku, na kuna wanaojiita Wasomi mikate yao ni robo ya mkate wangu.Magari ya siku hizi ni computer controlled, inatakiwa awe na uelewa wa kusomea na kuelewa maelekezo kwenye dashboard. Sasa darasa la saba la miaka hii si anafanya miujiza?
Hata jikoni siku hizi kama haujuwi kusoma na kuelewa Kingereza ni kasheshe.
Nawashauri walioishia darasa la saba wote wakipata fursa waende hata shule za watu wazima wakajiendeleze na masomo.
Ndio unauwezo wa kujua eng. hata kama hukwenda shule maana kama nitakaa na watu wanaozungumza English kwa muda mrefu lazima nijueHata kama hujaenda shule unaweza kujuwa Kingereza.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ngoja waje
Umeriamsha dude
Sijui nikupe pole au hongera?Kwa Uongozi Wa Bashite Hata Kama Angekua Hana Chet Cha Lasaba Me Ningemchagua Hata Kama Anagombea Uraisi Yule Ana Kipaji Swala La Waliotolewa Vyet Ni Wao Kutokujiendeleza Kama Wangejiendeleza Wasinge Kutwa Na Hilo Janga Jpm Lakini Zab 23;1
We Una Uchaguzi Wako Kutokana Na Unavofili Sikulaumu Ninachotaka Ni Kiongozi Bora Sio Bora Kiongozi Ebu Fananisha Ma Rc Wote Tz Nzima Na Makonda Sijui Kama Huwa Unasikiliza Vitu Anavyofanya Au Umeamua Tu Kumchukia Ningekupa Baadhi Tu Ya Vitu Wanavyofaid Watu Wa Dar Kupitia Rc Wao Lakini Huwez Amini My God Blees Jpm ,makonda & All Leader In TanzaniaNi kweli ungemchagua,kwa sababu wewe ni mjinga mwandamizi.mimi na elimu yangu nimchague bashiteee??kwa lipi hasa??
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiye darasa la saba hujaona KUNAMBIA nimeona mimi wa darasa la saba.Hizo ndiyo sababu za elimu ndogo ya darasa na darsa.
Hongera, lakini si kwa kuajiriwa na serikali.Darasa la saba miyee sihitaji kujiendeleza wala lolote elimu niliyonayo inanitosha kutafutia mkate wa kila siku, na kuna wanaojiita Wasomi mikate yao ni robo ya mkate wangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
We unajulikana kwa kua PRo-serikali, hujaanza Leo wala Jana.Magari ya siku hizi ni computer controlled, inatakiwa awe na uelewa wa kusomea na kuelewa maelekezo kwenye dashboard. Sasa darasa la saba la miaka hii si anafanya miujiza?
Hata jikoni siku hizi kama haujuwi kusoma na kuelewa Kingereza ni kasheshe.
Nawashauri walioishia darasa la saba wote wakipata fursa waende hata shule za watu wazima wakajiendeleze na masomo.
Ni uonevu tu.Magari ya siku hizi ni computer controlled, inatakiwa awe na uelewa wa kusomea na kuelewa maelekezo kwenye dashboard. Sasa darasa la saba la miaka hii si anafanya miujiza?
Hata jikoni siku hizi kama haujuwi kusoma na kuelewa Kingereza ni kasheshe.
Nawashauri walioishia darasa la saba wote wakipata fursa waende hata shule za watu wazima wakajiendeleze na masomo.
Uonevu wakati mmejulishwa toka mwaka 2004?Ni uonevu tu.
Acha uzushi,nenda vigu kaulize Benz atros wanaozindesha wamesoma?na kila leo zinaenda nje na Kuludi na bado mpya kbs,sa iwe na hivyo vi vxMagari ya siku hizi ni computer controlled, inatakiwa awe na uelewa wa kusomea na kuelewa maelekezo kwenye dashboard. Sasa darasa la saba la miaka hii si anafanya miujiza?
Hata jikoni siku hizi kama haujuwi kusoma na kuelewa Kingereza ni kasheshe.
Nawashauri walioishia darasa la saba wote wakipata fursa waende hata shule za watu wazima wakajiendeleze na masomo.
Labda utusaidie walijulishwa kitu gani/Mwaks 2004?Uonevu wakati mmejulishwa toka mwaka 2004?
Acha uzushi,nenda vigu kaulize Benz atros wanaozindesha wamesoma?na kila leo zinaenda nje na Kuludi na bado mpya kbs,sa iwe na hivyo vi vx
Yakikukuta dada yangu Faiza utanikumbuka.Uonevu wakati mmejulishwa toka mwaka 2004?