Tuliowahi kupewa hela na wanawake

We kwamwene una shida sana aisee 🤣🤣🤣 yani nusura umtoe roho kijana wa watu. Sasa kutoa si moyo lakini? Mbona kudaiana hivyo na alikuwa mtu wako.🤣🤣🤣
 
Hahahaha kweli kabisa, mi nikikwama nachukuaga hata 2M nafanya mishemishe narudishia. shida iko kwa hizi mbuzi ambazo zinajua kupokea tu.
 
Wewe sina wasiwasi kabisa na familia uliotoka. Naweza nikaoa hata ndani ya mwezi mmoja. Shida ni zile mbuzi zingine zenye covid 19 🤣🤣🤣🤣🤣 zinawaza hela tu!
 
Ulimpandishia majini kabisa yani[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nahisi angeendelea na sound ungemuibukia na mamwela kabisa!
[emoji16][emoji16][emoji16]Walaa, nilikuwa sina cha kumfanya sema aliogopa mkwara halafu alikuwa na kiburi fulani hivi, kitendo cha kuonekana ameshindwa kulipa pesa kama hiyo angehisi ametwezwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe sina wasiwasi kabisa na familia uliotoka. Naweza nikaoa hata ndani ya mwezi mmoja. Shida ni zile mbuzi zingine zenye covid 19 🤣🤣🤣🤣🤣 zinawaza hela tu!


Wee Mjuba acha uchokozi.

Unamwaga kuku kwenye shamba la mchele aahahahhaaaa.
 
Hivyo vijamaa vinajikutaga sana halafu hata body havinaga [emoji1787][emoji1787][emoji1787] vibishi kama nnya!

Njoo uolewe kanda yetu huku K'njaro hatunaga mambo ya kijinga.
Hata huko kwenu msala [emoji1787][emoji1787] ngoja nijitafutie zangu mzaramo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wengine..alafu mpenzi si mti wa pesa kwamba muda wote anakuwa nazo muda wote anipe tu..no..Kuna muda mnaishiwa na mnahitaji tafu kutoka kwa Wandani wenu (sisi)
Now you are talking! 👏
 

Kweli mkuu, amenipa pesa zake nyingi sana mpaka kuna kipindi alinitumia nauli kutoka Point A-E ili nikam****, na bado nikapewa na nauli ya kurudi + Matumizi.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…