we paka shume kweli, umeelewa hata au kufikiria critically au umebweka tu kama mbwehaNaomba nitoke nje ya mada,
Hii tabia ya wanaume kuomba omba hela imetoka wapi.? Mbona inazidi kushamiri.?
Wanaume kazi ya kuomba omba pesa mtuachie tu siye, ninyi hampendezi walaqhi'..!!
Nadhani ni mara ya kwanza naambiwa maneno makali kiasi hichi.!we paka shume kweli, umeelewa hata au kufikiria critically au umebweka tu kama mbweha
Sent using Jamii Forums mobile app
Wana wivu sana hao, halafu wanapenda swaga za kuchunguza simuSasa hivi ni dakika chache nimetoka kupokea simu ya mwanamke wangu wa kiha sh 170000..simu imeita akasema njoo chukua hii hela uzungushe.
Huyu dada kunipa hela kwake nikutokana na nisimuache maana anajua mi nina demu mzuri kuliko yeye hivyo anatumia hyo mbinu ili nimuoe mbeleni
Sent using Jamii Forums mobile app
Don't feel offended and sorry from that creature because i met him from different forums,he's ill mannered and stupidest utopian and always look down on other people. F***k him!Nadhani ni mara ya kwanza naambiwa maneno makali kiasi hichi.!
Nisamehe Mimi bure Mr. Billions, sina tatizo nawe and this ain't even personal.!
I'm so sorry.!!
thank you so so much my dear..!!Don't feel offended and sorry from that creature because i met him from different forums,he's ill mannered and stupidest utopian and always look down on other people. F***k him!
Jibu hili laonyesha wewe ni mstaarabu wa hali ya juu (japo sikujui) Ibarikiwe siku uliyozaliwa, Abarikiwe aliyekuoa (kama umeolewa) na kama hujaolewa MUNGU akujaalie upate mume wa kukufaa kwa shida na raha.Nadhani ni mara ya kwanza naambiwa maneno makali kiasi hichi.!
Nisamehe Mimi bure Mr. Billions, sina tatizo nawe and this ain't even personal.!
I'm so sorry.!!
Amina kubwa sana my dear.!!Jibu hili laonyesha wewe ni mstaarabu wa hali ya juu (japo sikujui) Ibarikiwe siku uliyozaliwa, Abarikiwe aliyekuoa (kama umeolewa) na kama hujaolewa MUNGU akujaalie upate mume wa kukufaa kwa shida na raha.
[emoji23][emoji23][emoji23] na ww dai samani za ndaniKwenye ujenzi nilipeleza kama 70k akanipa,na katika kuilipa sikuona haja ya kumpa cash,nilimnunulia thamani za ndani za kama laki tano na nusu,hapo namlipia kodi namnunulia chakula kikiisha na hela ya matumizi mara moja moja,
Anajua kama nina mke,ila nafanya hayo yote kwa sababu nimezaa naye.
Cha ajabu mwaka jana Desemba tulizinguana akaidai ile elfu 70.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23] mamdogo uko na jazba sna.Only if unakua vizuri halafu uchumi wako mwanaume sio kiviiiile walau otherwise wizi mtupu nasema wizi mtupuuuuuu hakuna cha kugeana wala mavi yake
Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app