Nimeipenda comment yako ndugu.Mkipendana kwa dhati na kila mtu akamuelewa mwenzake basi hilo jambo linawezekana kabisa
Huyo alikua anakupenda kwa dhati na mapenzi ni matendo kama hayo.Nimeipenda comment yako ndugu.
Kuna kipindi 2017 nilikuwa na mambo mengi sana hadi salary haikutosha, mara paah mwenye nyumba anadai kodi!!!! Alafu wakati anaulizia nilikuwa na gf wangu room!! Nikamwambia father house nitamlipa mwezi ujao kwakuwa mwezi huo nilikuwa na matumizi makubwa!
Kumbe wakati naongea na father house, gf wangu alisikia zile conversations, nilishangaa siku 3 tu akanipa 500,000/= nilipie geto!! Nilishangaa sana lakini pia sikuamini kama angekuwa na pesa au moyo wa kutoa hiyo pesa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah! Wacha tujitahidi ila mkuu yaani tusipopita huko hatuoni raha kabisa ya kucheza hiyo game halafu sidhani kama kuna madhara kama mkiwa wasafi , kwa sababu hakuna mwanachama hata mmoja aliyewahi kugundulika na ugonjwa wowote unaohusiana na kuzama uvinza .Sio jambo zuri endapo sijawahi ila sioni kama lafaa.. nyie mtakuja kututengenezea magonjwa zaidi ya korona ni Jambo la muda tu acheni ukenge nyie..
Shida kuna pesa zingine haziliki,unakuta sura ya siro,shepu ya babako..no appetite at all,
Kenge nyengine hii hapa..Dah! Wacha tujitahidi ila mkuu yaani tusipopita huko hatuoni raha kabisa ya kucheza hiyo game halafu sidhani kama kuna madhara kama mkiwa wasafi , kwa sababu hakuna mwanachama hata mmoja aliyewahi kugundulika na ugonjwa wowote unaohusiana na kuzama uvinza .
Uvinza kuna raha yake mkuu
Naomba nitoke nje ya mada,
Hii tabia ya wanaume kuomba omba hela imetoka wapi.? Mbona inazidi kushamiri.?
Wanaume kazi ya kuomba omba pesa mtuachie tu siye, ninyi hampendezi walaqhi'..!!
Jamanie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alinipa laki mbili ila baada ya mwaka mmoja tukaachana, ilipo pita miaka miwili akapigasimu kunidai
Hukuja kumla lakini?
Very nice.Huyo alikua anakupenda kwa dhati na mapenzi ni matendo kama hayo.
Mimi hua sioni shida kumtoa jamaa akikwama maana zake nazila sana tena bila kumuomba so akikwama sana ananishirikisha then tunasaidiana maisha yanasonga nachompendea kesho yake akipata basi atarudisha tena na zaidi sometime.
😂😂😂😂 aisee mkuu kila mtu na starehe yake , mimi kiukweli bila kuzama uvinza sijiskii poa kabisa yani lazima nipate japo kukojolewa usoni ndo game itanoga.Kenge nyengine hii hapa..
Huyo alikua anakupenda kwa dhati na mapenzi ni matendo kama hayo.
Mimi hua sioni shida kumtoa jamaa akikwama maana zake nazila sana tena bila kumuomba so akikwama sana ananishirikisha then tunasaidiana maisha yanasonga nachompendea kesho yake akipata basi atarudisha tena na zaidi sometime.
Haaa haaaaaaSiku nikipokea hiyo bahati nafikiri ndo itakuwa dalili ya kuwa sitaenda motoni..
Sijui ninamkosi kutoka dunia ipi maana kusema hata ile mia kwamba mtoto wa kike anipe kwamba nikale hata pipi sijawahi..[emoji28]
Nimeamini Mungu na waungwana shetani na wahuni..[emoji28]
Utapona tu mama, it's just a matter of timeNilikuwa nampa hela ex wangu nilimsaidia sana alipokuwa na shida ila upuuzi alionifanyia inaumiza xana apa moyo umekufa ganzi aisee
time will tell
Come come come bby
No sina hasira, nilitaka tu kukumbushusha hilo. Hapa nilipo sina hata mwanamke, sasa hiyo hela sijui nitaipokeajeWewe endelea tu kupokea hela za mwanamke acha hasira.
Boost your Immune System to fight a Covid-19.