Tuliowahi kupambana na vichaa tuelezane ilikuwaje!

k.koo kichaa alinifatilia muda mrefu afu sijui.nikawa navuka barabara kwenda kupanda daladala aisee akanishika ta.ko na kuninga'ng'ania nikajitoa kwa nguvu.ndani ya sekunde moja sikumuona yaani kama aliyeyuka hivi.ghagla namuona kaka mmoja mtanashati (sitadescribe mavazi yake maana mtahusisha na dini za watu bure) nakumbuka alichovaa hadi leo na ilikua kama sikosei 2015 basi yule kaka akaniambia hapa nenda kapande gari haraka huyo kichaa amekupenda
hahhah akasema ukiendelea kuepo maeneo haya atakufata hadi home
aisee nikiikumbuka ile picha naumia sana roho
maana jinsi alivyonishika aisee
Alikhikaje jaman😁
 
Enzi nakua tulikuwa tunawaita babu toa hao, kuna mmoja alikuwa anafanya mchezo huo pale uwanja wa golf gymkana zamani tulikuwa tunapita short cut pale tukipita watoto wengi anatoa dudu lake tuna mpiga mawe tukifika home home runaripoti tumeona mtu ametoa dudu lake lina vitu vyeupe katukimbiza. Kila mzazi mzazi alipiga mtoto wake marufuku hiyo njia. Mwingine alikuwa babu wa kihindi tunakaa naye ghorofa moja akisikia watoto wanapita time za kutoka shule anafungua mlango wake kutonyesha dudu tukawa tunamwita baba baya
Daaaaah jamaa angu we wa kishuaa
 
Mimi ndo huyo kama nilokwambia uondoke,,kumbe ni wewe aseh polee,,ile siku ungekuwa na mshkaji wako yule kichaa angeumiaa maama ile namna alokushika sio
 
Kuna chizi mmoja mabanda ya papa anagusaga watu ukikaa vibaya aweza kukushika hata ziwa

Sku hiyo nilitoka barabara ya ishirini naelekea madukani mabanda ya papa maduka ya baibui me skua najua anaweza kunigusa nikampita tu nikashtukia kanishika shavu jamani nilipepesuka ilibaki kidogo nigongwe na daladala sababu yake moyo ulinienda mbio ikabidi nikae chini ya mti kwanza
Unamaanisha usoni au kuna code apa😁
 
Enzi nakua tulikuwa tunawaita babu toa hao, kuna mmoja alikuwa anafanya mchezo huo pale uwanja wa golf gymkana zamani tulikuwa tunapita short cut pale tukipita watoto wengi anatoa dudu lake tuna mpiga mawe tukifika home home runaripoti tumeona mtu ametoa dudu lake lina vitu vyeupe katukimbiza. Kila mzazi mzazi alipiga mtoto wake marufuku hiyo njia. Mwingine alikuwa babu wa kihindi tunakaa naye ghorofa moja akisikia watoto wanapita time za kutoka shule anafungua mlango wake kutonyesha dudu tukawa tunamwita baba baya
Mwaka Jana mwishoni...narudi home Kama saa nne usiku nakutana nae uso kwa uso..kanivaa mama Watoto twende nyumbani analianikiomba msaada watu wanaopita waje wanisaidie kujinasua anawaambia huyu mke wangu hataki kurudi nyumbani usiku huu. Bahati kuna mchagga mmoja anatoka dukani kwake, ananijua plus anamjua huyo Kaka Kama ni mentor disordered akanisaidia nkaenda home.
 
Khaaaa mbona taabu ina maana ndo ulikua waenda kuliwa hvo😁
 
Wakati mwingne si sijui wanakuwa na nini
Kuna kichaa mmoja alikuwa anaogopeka hasa kwa kupiga wanawake waliopo kwenye siku zao sijui alikuwa anajuaje ukiwa upo kwenye siku zako usimpitie kabisa karibu atakubutua tu na ana miguvu kinoma
Km mnavyojua sisi waislam mwenzi wa ramadhani huwa tunaFuturu pamoja baradhani nyumbanzima
akaja akasema naomba tufuturu pamoja
wengne wakakimbia mm na wenzangu tukabaki baadhi tukabaki tumeduwaa mmoja akataka kumtengea pk yake me nikamwambia acha tule pamoja tu lkn cha kushangaza jamaa alinawa vizuri alikura kiistaarabu tu tena kwa uchache na uji akanywa maji na baada kumaliza kuftari akatushukuru kisha alitufanyia dua ndefu sana mwanzo tulikuwa kimya lkn baadae tukawa tunaitikia amin watu wakawa wakipita wanashaangaa kisha huyo akaenda zake
Mpk leo hilo tukio naliwazaga
sasa ulipoleta hii mada ndo nikakumbuka na mplk sasa huyu CHIZI yupo ingawa hilo tukio limepita zaidi ya miaka 10 na ushee sasa
 
Nakumbuka Mbeya sokomatola kuna chizi flani alikua anaitwa Ngwisa. Huyu jamaa naona alikua na bifu na vichwa vya watu, yaani unaweza kumpita halafu akakunyatia kwa nyuma akakushushia bonge la kwenzi kiasi kwamba hujui panapouma ni wapi hasa. Asee wageni nae walikuwa wanapata tabu sana. Na mwingine alikuwa anaitwa body builder kuna siku alimgonga ngozi chizi mwenzie wa kiume anaitwa Mudi hadi akanya.
 
😁😁😁😁😁😁Hii chai in tangawizi nyingi mkuu😁
 
Wakati mwingne si sijui wanakuwa na nini
Kuna kichaa mmoja alikuwa anaogopeka hasa kwa kupiga wanawake waliopo kwenye siku zao sijui alikuwa anajuaje ukiwa upo kwenye siku zako usimpitie kabisa karibu atakubutua tu na ana miguvu kinoma
Km mnavyojua sisi waislam mwenzi wa ramadhani huwa tunaFuturu pamoja baradhani nyumbanzima
akaja akasema naomba tufuturu pamoja
wengne wakakimbia mm na wenzangu tukabaki baadhi tukabaki tumeduwaa mmoja akataka kumtengea pk yake me nikamwambia acha tule pamoja tu lkn cha kushangaza jamaa alinawa vizuri alikura kiistaarabu tu tena kwa uchache na uji akanywa maji na baada kumaliza kuftari akatushukuru kisha alitufanyia dua ndefu sana mwanzo tulikuwa kimya lkn baadae tukawa tunaitikia amin watu wakawa wakipita wanashaangaa kisha huyo akaenda zake
Mpk leo hilo tukio naliwazaga
sasa ulipoleta hii mada ndo nikakumbuka na mplk sasa huyu CHIZI yupo ingawa hilo tukio limepita zaidi ya miaka 10 na ushee sasa
Dah uchizi hauponagi kwani?
 
Hakuna fix hapo jombaa sema hao wawili waliobanduana washakufa. Na huyo mgonga nyundo za kichwa alikua ni Rastafarian ila humkosi na bibilia mkono wa kushoto huku mkono wa kulia ukiwa special kwa ajili ya makwenzi tu.
Hii chai in tangawizi nyingi mkuu
 
k.koo kichaa alinifatilia muda mrefu afu sijui.nikawa navuka barabara kwenda kupanda daladala aisee akanishika ta.ko na kuninga'ng'ania nikajitoa kwa nguvu.ndani ya sekunde moja sikumuona yaani kama aliyeyuka hivi.ghagla namuona kaka mmoja mtanashati (sitadescribe mavazi yake maana mtahusisha na dini za watu bure) nakumbuka alichovaa hadi leo na ilikua kama sikosei 2015 basi yule kaka akaniambia hapa nenda kapande gari haraka huyo kichaa amekupenda
hahhah akasema ukiendelea kuepo maeneo haya atakufata hadi home
aisee nikiikumbuka ile picha naumia sana roho
maana jinsi alivyonishika aisee
Duh alikushika hadi ukahisi nanihii vile,pole sana ulipotelea wapi?
 
Hakuna fix hapo jombaa sema hao wawili waliobanduana washakufa. Na huyo mgonga nyundo za kichwa alikua ni Rastafarian ila humkosi na bibilia mkono wa kushoto huku mkono wa kulia ukiwa special kwa ajili ya makwenzi tu.
Dah hiyo hatar sana mkuu
 
Kuna dada mmoja chizi aliletwa kijijini kwetu akitokea Arusha alikuwa ni muhasibu kwenye kampuni moja huko Arusha (ana advance diploma yake). Aliletwa kijijini amefungwa kamba mikono miwili halafu anafungwa kwenye mti kwa ajili ya matibabu.

Akipita shule wanafunzi wanamtania anawakimbiza, wakati mwingine anawarushia mawe. Hata baadhi ya maskani vijana wakimtania huwa anawakimbiza na hata kuwatukana matusi makubwa makubwa.

Mimi nilikuwa tu naskia story zake, ni chizi amesoma na anaongea english safi. Siku moja ghafla huyu hapa amekuja ofisini kwangu (dukani), kuna makabati ya vioo pia. Mimi nikamuomba urafiki kwa kizungu tunaongea mwanzo mwisho, nikamkaribisha ofisini ndani kabisa akakaa kwenye kiti. Nampa kalamu na karatasi ananipa concept za ki-accounts na story nyingi za mambo ya shule shule na maisha.

Nikamuuliza anatumia soda gani nikamuagizia na hata alipoondoka nilimpa business card yangu (kiufupi mimi sikuwahi kumchukulia kama ni chizi, hata hisia/maongezi sikuwahi kumuonyesha kwamba yeye ni chizi). Mara nyingi alikuwa anakuja tunazungumza, tunapiga selfie mpk wanafunzi na vijana pamoja na wanakijiji wakamchukulia kawaida kabisa na ni msomi, wateja walikuwa wakija wananikuta nazungumza nae english safi

Kidogo kidogo akaanza kure-cover, baadae akapona kabisa, namba yangu ya simu kutoka kwenye business card (ameikariri). Pale kijijini anakumbuka kila kitu, mara kwa mara alikuwa ananipigia simu naongea nae, alipona kabisa huwezi kumjua kama ni yeye.

Tangu nipo kijijini mpaka sasa nipo mjini tunawasiliana fresh tu, maisha yame-change kila mtu na maisha yake, tunakumbukana siku 1 moja kwa simu kujuliana hali. (Niliambiwa ukichaa wake ulisababishwa na cheo/maslahi ofisini mfanyakazi mwenzake hakupenda)
 
k.koo kichaa alinifatilia muda mrefu afu sijui.nikawa navuka barabara kwenda kupanda daladala aisee akanishika ta.ko na kuninga'ng'ania nikajitoa kwa nguvu.ndani ya sekunde moja sikumuona yaani kama aliyeyuka hivi.ghagla namuona kaka mmoja mtanashati (sitadescribe mavazi yake maana mtahusisha na dini za watu bure) nakumbuka alichovaa hadi leo na ilikua kama sikosei 2015 basi yule kaka akaniambia hapa nenda kapande gari haraka huyo kichaa amekupenda
hahhah akasema ukiendelea kuepo maeneo haya atakufata hadi home
aisee nikiikumbuka ile picha naumia sana roho
maana jinsi alivyonishika aisee
Yaani kukushika kalio tu ndo unanimaind mpaka leo
Tuonane tuyajenge
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom