Tuliowahi kupambana na vichaa tuelezane ilikuwaje!

Daah! Mada ya Leo imenigusa haswaa wapendwa...mie Nina ofisi yangu yaani duka la vitu mchanganyiko rugha nyepesi 'takataka kuna chizi hapa kijijn kwetu nilimkuta tangu nakuja hadi sasa mashaallh huyo chizi kila siku asubuhi lazima aje hapo ofisini kunisalimu yaani daily!!! Vipi hapo kuna tatizo au nn maana yake??
Dukani kwako utakuwa na mgogo
 
Mi kwa kawaida huwa sio mtata na mtu wa kujali biashara zangu lakini kwa hii siku tulimpiga kichaaa mpaka akakimbia tukamkimbiza tukamkamata tukampiga mpaka akalia ,tukampiga mpaka akaomba msamaha "mabro zangu nisameheni mtaniua" tukaendelea kumdunda mpaka akakimbia akaingia kwenye duka la watu tukamfata mwenye duka akaleta za kuleta zikapigwa tena baina ya umoja wa wananchi vs mwenyeduka na kichaa upande mwingine mpaka wanausalama walipofika na kuanza sombasomba.Kisa tuko mjini na jamaa zangu kwenye mihangaiko yetu kwa macho yangu nikamuona kichaa kichaa kaokota jiwe kampiga mtoto kabebwa mgongoni na mama yake.Pale ndio alinitibua maruhani yangu na ya jamaa wengine na wananchi wa karibu .
 
Kuna chizi mmoja mabanda ya papa anagusaga watu ukikaa vibaya aweza kukushika hata ziwa

Sku hiyo nilitoka barabara ya ishirini naelekea madukani mabanda ya papa maduka ya baibui me skua najua anaweza kunigusa nikampita tu nikashtukia kanishika shavu jamani nilipepesuka ilibaki kidogo nigongwe na daladala sababu yake moyo ulinienda mbio ikabidi nikae chini ya mti kwanza
Shavu gani?
 
Enzi nakua tulikuwa tunawaita babu toa hao, kuna mmoja alikuwa anafanya mchezo huo pale uwanja wa golf gymkana zamani tulikuwa tunapita short cut pale tukipita watoto wengi anatoa dudu lake tuna mpiga mawe tukifika home home runaripoti tumeona mtu ametoa dudu lake lina vitu vyeupe katukimbiza. Kila mzazi mzazi alipiga mtoto wake marufuku hiyo njia. Mwingine alikuwa babu wa kihindi tunakaa naye ghorofa moja akisikia watoto wanapita time za kutoka shule anafungua mlango wake kutonyesha dudu tukawa tunamwita baba baya
Mkuu sio upanga hiyo? Nakumbuka enzi hizo tulikua tunaishi jirani kabisa na A.H Mwinyi upanga
 
Salaam.
Huku mitaani kuna vichaa na kuna wanaoigiza ukichaa.
hapa ni matukio kadhaa niliwahi kukutana nayo dhidi ya vichaa.

1 Hili lilitokea soko la mbuyuni Moshi. Asubuhi na mapema nimeshusha mzigo wa malimao debe tano, zile debe nne nikauza kwa bei ya jumla halafu moja nikapanga sehemu nikawa nauza kwa mafungu. Mara akatokea mshikaji anajifanya dishi limeyumba, ana mfuko wa rambo akachukua malimao mafungu saba halafu akanipiga kibao huku ananitolea macho. NILIMPIGA NGUMI ZA USO KAMA TANO JAMAA DISHI LIKAKAA SAWA AKAACHIA RAMBO AKAONDOKA KWA KASI YA AJABU. Baadaye tukagundua anajifanya chizi akichukua vitu anapeleka kwenye hotel fulani hivi anauza.

2 Mwenge Dar es salam.... nilishuka kwenye daladala la mbagala nikawa nawahi la tegeta kipindi hicho foleni ni kubwa sana na magari ni machache. Wakati nagombea gari nikahisi mkono mfukoni nikaudakia hukuhuku mfukoni halafu nikamvuta jamaa pembeni. Akaanza kuniigizia kama vile dishi limeyumba, bila kumuuliza chochote nilimpiga ngumi mbili tu jamaa akazimia, wale wapigadebe wa mwenge wakaja kumsaidia nikaondoka. Kesho yake napita pale namuona jamaa ni mzima kabisa kumbe siyo kichaa.

3 WATU WA MBUYUNI MOSHI` KUNA JAMAA MIAKA YA 2006 LILIKUWA LINAVAA VYUMA MWILI MZIMA HADI KWENYE NYWELE, YULE NJEMBA YUPO?? YULE NDIYE KICHAA ALIYEWAHI KUNINYANG'ANYA ELFU MBILI HALAFU AKAONDOKA KIBABE.
Inaonekana na ww unakauchizi flani ivi
 
Uuwiii mmenikumbusha miaka hiyoo Arusha nikiwa naenda zangu shule kulikuwa na Mama mmoja maeneo ya Eso , sasa alikuwa anatembea na wanawe kuelekea Kilombero huku mwanafunzi wa watu sina hili wala lile nikawa kama nimefuatana naye hivi we acha anipe bonge la kofi la shavuni nikabaki nimeduwaa tu.

Na toka kipindi hicho nikiwaona hawa watu kama kuna barabara basi lazima nivuke upande wa pili nikishapishana naye ndio narudi upande wangu kuendelea na safari yangu.
 
k.koo kichaa alinifatilia muda mrefu afu sijui.nikawa navuka barabara kwenda kupanda daladala aisee akanishika ta.ko na kuninga'ng'ania nikajitoa kwa nguvu.ndani ya sekunde moja sikumuona yaani kama aliyeyuka hivi.ghagla namuona kaka mmoja mtanashati (sitadescribe mavazi yake maana mtahusisha na dini za watu bure) nakumbuka alichovaa hadi leo na ilikua kama sikosei 2015 basi yule kaka akaniambia hapa nenda kapande gari haraka huyo kichaa amekupenda
hahhah akasema ukiendelea kuepo maeneo haya atakufata hadi home
aisee nikiikumbuka ile picha naumia sana roho
maana jinsi alivyonishika aisee

inaonekana seating allowance majaaliwa yaliswekwa kwako
 
Mi kwa kawaida huwa sio mtata na mtu wa kujali biashara zangu lakini kwa hii siku tulimpiga kichaaa mpaka akakimbia tukamkimbiza tukamkamata tukampiga mpaka akalia ,tukampiga mpaka akaomba msamaha "mabro zangu nisameheni mtaniua" tukaendelea kumdunda mpaka akakimbia akaingia kwenye duka la watu tukamfata mwenye duka akaleta za kuleta zikapigwa tena baina ya umoja wa wananchi vs mwenyeduka na kichaa upande mwingine mpaka wanausalama walipofika na kuanza sombasomba.Kisa tuko mjini na jamaa zangu kwenye mihangaiko yetu kwa macho yangu nikamuona kichaa kichaa kaokota jiwe kampiga mtoto kabebwa mgongoni na mama yake.Pale ndio alinitibua maruhani yangu na ya jamaa wengine na wananchi wa karibu .
Ahahaha..kamanilikuwepo kwenye kumtembezea huyu chizi kichapo,,,
 
Salaam.
Huku mitaani kuna vichaa na kuna wanaoigiza ukichaa.
hapa ni matukio kadhaa niliwahi kukutana nayo dhidi ya vichaa.

1 Hili lilitokea soko la mbuyuni Moshi. Asubuhi na mapema nimeshusha mzigo wa malimao debe tano, zile debe nne nikauza kwa bei ya jumla halafu moja nikapanga sehemu nikawa nauza kwa mafungu. Mara akatokea mshikaji anajifanya dishi limeyumba, ana mfuko wa rambo akachukua malimao mafungu saba halafu akanipiga kibao huku ananitolea macho. NILIMPIGA NGUMI ZA USO KAMA TANO JAMAA DISHI LIKAKAA SAWA AKAACHIA RAMBO AKAONDOKA KWA KASI YA AJABU. Baadaye tukagundua anajifanya chizi akichukua vitu anapeleka kwenye hotel fulani hivi anauza.

2 Mwenge Dar es salam.... nilishuka kwenye daladala la mbagala nikawa nawahi la tegeta kipindi hicho foleni ni kubwa sana na magari ni machache. Wakati nagombea gari nikahisi mkono mfukoni nikaudakia hukuhuku mfukoni halafu nikamvuta jamaa pembeni. Akaanza kuniigizia kama vile dishi limeyumba, bila kumuuliza chochote nilimpiga ngumi mbili tu jamaa akazimia, wale wapigadebe wa mwenge wakaja kumsaidia nikaondoka. Kesho yake napita pale namuona jamaa ni mzima kabisa kumbe siyo kichaa.

3 WATU WA MBUYUNI MOSHI` KUNA JAMAA MIAKA YA 2006 LILIKUWA LINAVAA VYUMA MWILI MZIMA HADI KWENYE NYWELE, YULE NJEMBA YUPO?? YULE NDIYE KICHAA ALIYEWAHI KUNINYANG'ANYA ELFU MBILI HALAFU AKAONDOKA KIBABE.

hiyo ya mwenge naona wewe ndio ulichezea kichapo maana ubungo na mwenge ukiibiwa wewe ndio unageuziwa kibao hii inatokana na historia ya matukio hayo maeneo hayo
 
Kuna chizi mmoja mabanda ya papa anagusaga watu ukikaa vibaya aweza kukushika hata ziwa

Sku hiyo nilitoka barabara ya ishirini naelekea madukani mabanda ya papa maduka ya baibui me skua najua anaweza kunigusa nikampita tu nikashtukia kanishika shavu jamani nilipepesuka ilibaki kidogo nigongwe na daladala sababu yake moyo ulinienda mbio ikabidi nikae chini ya mti kwanza
Hilo shavu uliloshikwa mpaka ukapepesuka almanusra kugongwa na gari, ni hili hili shavu la kawaida au akili yangu ndio inawaza vibaya?
 
Uuwiii mmenikumbusha miaka hiyoo Arusha nikiwa naenda zangu shule kulikuwa na Mama mmoja maeneo ya Eso , sasa alikuwa anatembea na wanawe kuelekea Kilombero huku mwanafunzi wa watu sina hili wala lile nikawa kama nimefuatana naye hivi we acha anipe bonge la kofi la shavuni nikabaki nimeduwaa tu.

Na toka kipindi hicho nikiwaona hawa watu kama kuna barabara basi lazima nivuke upande wa pili nikishapishana naye ndio narudi upande wangu kuendelea na safari yangu.
Umenikumbusha enzi za msularamboo alishawahi kumbaka mdada maeneo ya shopprite kipindi hicho
 
Salaam.
Huku mitaani kuna vichaa na kuna wanaoigiza ukichaa.
hapa ni matukio kadhaa niliwahi kukutana nayo dhidi ya vichaa.

1 Hili lilitokea soko la mbuyuni Moshi. Asubuhi na mapema nimeshusha mzigo wa malimao debe tano, zile debe nne nikauza kwa bei ya jumla halafu moja nikapanga sehemu nikawa nauza kwa mafungu. Mara akatokea mshikaji anajifanya dishi limeyumba, ana mfuko wa rambo akachukua malimao mafungu saba halafu akanipiga kibao huku ananitolea macho. NILIMPIGA NGUMI ZA USO KAMA TANO JAMAA DISHI LIKAKAA SAWA AKAACHIA RAMBO AKAONDOKA KWA KASI YA AJABU. Baadaye tukagundua anajifanya chizi akichukua vitu anapeleka kwenye hotel fulani hivi anauza.

2 Mwenge Dar es salam.... nilishuka kwenye daladala la mbagala nikawa nawahi la tegeta kipindi hicho foleni ni kubwa sana na magari ni machache. Wakati nagombea gari nikahisi mkono mfukoni nikaudakia hukuhuku mfukoni halafu nikamvuta jamaa pembeni. Akaanza kuniigizia kama vile dishi limeyumba, bila kumuuliza chochote nilimpiga ngumi mbili tu jamaa akazimia, wale wapigadebe wa mwenge wakaja kumsaidia nikaondoka. Kesho yake napita pale namuona jamaa ni mzima kabisa kumbe siyo kichaa.

3 WATU WA MBUYUNI MOSHI` KUNA JAMAA MIAKA YA 2006 LILIKUWA LINAVAA VYUMA MWILI MZIMA HADI KWENYE NYWELE, YULE NJEMBA YUPO?? YULE NDIYE KICHAA ALIYEWAHI KUNINYANG'ANYA ELFU MBILI HALAFU AKAONDOKA KIBABE.
Kwanza haiwezekani wewe mtu mmoja upambane na vichaa watatu tofauti. I'm sure na wewe ni kichaa aiseeeeee...
 
Senzi kabisa kumbe mbwembwe zoote umetiririka vizuri kumbe kuna mbabe wako huku mwisho!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom