Tuliowahi kupambana na vichaa tuelezane ilikuwaje!

Njemba Soro.

JF-Expert Member
Oct 5, 2013
3,246
5,756
Salaam.

Huku mitaani kuna vichaa na kuna wanaoigiza ukichaa. Hapa ni matukio kadhaa niliwahi kukutana nayo dhidi ya vichaa.

1. Hili lilitokea soko la Mbuyuni Moshi. Asubuhi na mapema nimeshusha mzigo wa malimao debe tano, zile debe nne nikauza kwa bei ya jumla halafu moja nikapanga sehemu nikawa nauza kwa mafungu. Mara akatokea mshikaji anajifanya dishi limeyumba, ana mfuko wa rambo akachukua malimao mafungu saba halafu akanipiga kibao huku ananitolea macho. Nilimpiga ngumi za uso kama tano, jamaa dishi likaa sawa akaacha rambo akaondoka kwa kasi ya ajabu. Baadaye tukagundua anajifanya chizi akichukua vitu anapeleka kwenye hotel fulani hivi anauza.

2. Mwenge Dar es Salaam.... nilishuka kwenye daladala ya Mbagala nikawa nawahi ya Tegeta kipindi hicho foleni ni kubwa sana na magari ni machache. Wakati nagombea gari nikahisi mkono mfukoni nikaudakia hukuhuku mfukoni halafu nikamvuta jamaa pembeni. Akaanza kuniigizia kama vile dishi limeyumba, bila kumuuliza chochote nilimpiga ngumi mbili tu jamaa akazimia, wale wapigadebe wa Mwenge wakaja kumsaidia nikaondoka. Kesho yake napita pale namuona jamaa ni mzima kabisa kumbe siyo kichaa.

3. Watu wa Mbuyuni Moshi, kuna jamaa miaka ya 2006 alikuwa anavaa vyuma mwili mzima hadi kwenye nywele, hivi yupo bado? Yule ndio kichaa aliyewahi kuninyang'anya Tsh. 2000 halafu akaondoka kibabe
 
Kuna mmoja Mbeya miaka ya 2000 mwanzoni, asubuhi wakati naenda shule (ya msingi) alinifuata akanitemea kohozi ptuuu! kwenye sweta la shule afu akaanza kucheka, nikazoa vumbi chini nikammwagia machoni, wacha ajifikiche macho huku anatukana, mi huyoo nikavua sweta na kulipangusa kwenye mti, ila niliona kinyaa sana kulivaa lile sweta hata baada ya kufuliwa na Omo..
 
Miaka ya 80 mwanzoni pale Kigoma mjini palikuwa na kichaa mmoja mwanaume wa miraba minne nakumbuka kama jina lake lilikuwa 'chale mikda'.
Alikuwa na ukichaa wa ajabu sana. Akiona mahali pamejaa watu anasogea kando kidogo na kuanza kupiga Nyeto, hata ikiwa ni saa Sita mchana wa jua kali.
Ilikuwa kina mama wakimuona anakaa chini ili kuanza shughuli yake wanatawanyika! Halafu Njema alikuwa na 'msalagambo' uliokwenda shule!
Watu walikuwa wakisema alirogwa kwa kutembea na mke wa mtu.
Nilikuwa nikiumia sana na kujiuliza sana kama jamaa hakuwa na ndugu wa kumuokoa kutoka kwenye kudhalilika kule.
Nimeondoka miaka mingi Kigoma. Sijui chale mikda kama bado yupo ama aliishia wapi...
 
k.koo kichaa alinifatilia muda mrefu afu sijui.nikawa navuka barabara kwenda kupanda daladala aisee akanishika ta.ko na kuninga'ng'ania nikajitoa kwa nguvu.ndani ya sekunde moja sikumuona yaani kama aliyeyuka hivi.ghagla namuona kaka mmoja mtanashati (sitadescribe mavazi yake maana mtahusisha na dini za watu bure) nakumbuka alichovaa hadi leo na ilikua kama sikosei 2015 basi yule kaka akaniambia hapa nenda kapande gari haraka huyo kichaa amekupenda
hahhah akasema ukiendelea kuepo maeneo haya atakufata hadi home
aisee nikiikumbuka ile picha naumia sana roho
maana jinsi alivyonishika aisee
 
Alikushikaje?
 
Mmh ,
 
Ni Mimi nilikushika tako laini ni pm nikumbukize
 
Miaka ya 80 mwanzoni pale Kigoma mjini palikuwa na kichaa mmoja mwanaume wa miraba minne nakumbuka kama jina lake lilikuwa 'chale mikda'.
Alikuwa na ukichaa wa ajabu sana. Akiona mahali pamejaa watu anasogea kando kidogo na kuanza kupiga Nyeto, hata ikiwa ni saa Sita mchana wa jua kali.
Ilikuwa kina mama wakimuona anakaa chini ili kuanza shughuli yake wanatawanyika! Halafu Njema alikuwa na 'msalagambo' uliokwenda shule!
Watu walikuwa wakisema alirogwa kwa kutembea na mke wa mtu.
Nilikuwa nikiumia sana na kujiuliza sana kama jamaa hakuwa na ndugu wa kumuokoa kutoka kwenye kudhalilika kule.
Nimeondoka miaka mingi Kigoma. Sijui chale mikda kama bado yupo ama aliishia wapi...
Enzi nakua tulikuwa tunawaita babu toa hao, kuna mmoja alikuwa anafanya mchezo huo pale uwanja wa golf gymkana zamani tulikuwa tunapita short cut pale tukipita watoto wengi anatoa dudu lake tuna mpiga mawe tukifika home home runaripoti tumeona mtu ametoa dudu lake lina vitu vyeupe katukimbiza. Kila mzazi mzazi alipiga mtoto wake marufuku hiyo njia. Mwingine alikuwa babu wa kihindi tunakaa naye ghorofa moja akisikia watoto wanapita time za kutoka shule anafungua mlango wake kutonyesha dudu tukawa tunamwita baba baya
 
Nitarudi kuja kuwaletea kama mikasa miwili hivi
Siku moja nilicheka sana. Kuna jamaa watatu walikuwa wamekaa wakipiga story. Ilikuwa ni Dar maeneo ya Kinondoni A. Kwa nyuma akawa anakuja kichaa na panga mkononi. Mimi nilikuwa namwona tangu akija kwa mbali, na alikuwa analigonga panga lake chini mara kwa mara. Ila alikuwa hana madhara yoyote kwani alikuwa anajipitia zake. Alipowakaribia jamaa, alikuwa anakuja kwa nyuma akalikita panga lake kwenye ukingo wa mfereji pwaaa! Jamaa walikuwa kwenye story walipogeuka na kuona kichaa na panga huku anaelekea upande wao walisambaa na kutimua mbio kali sana sana, kila mmoja akielekea upande wake. Nilicheka sana siku hiyo. Kichaa huyoo wala hakuwa na habari akawa anaendelea na safari yake huku akikita kita panga lake chini.
 
Salaam.
Huku mitaani kuna vichaa na kuna wanaoigiza ukichaa.
hapa ni matukio kadhaa niliwahi kukutana nayo dhidi ya vichaa.

1 Hili lilitokea soko la mbuyuni Moshi. Asubuhi na mapema nimeshusha mzigo wa malimao debe tano, zile debe nne nikauza kwa bei ya jumla halafu moja nikapanga sehemu nikawa nauza kwa mafungu. Mara akatokea mshikaji anajifanya dishi limeyumba, ana mfuko wa rambo akachukua malimao mafungu saba halafu akanipiga kibao huku ananitolea macho. NILIMPIGA NGUMI ZA USO KAMA TANO JAMAA DISHI LIKAKAA SAWA AKAACHIA RAMBO AKAONDOKA KWA KASI YA AJABU. Baadaye tukagundua anajifanya chizi akichukua vitu anapeleka kwenye hotel fulani hivi anauza.
2 Mwenge Dar es salam.... nilishuka kwenye daladala la mbagala nikawa nawahi la tegeta kipindi hicho foleni ni kubwa sana na magari ni machache. Wakati nagombea gari nikahisi mkono mfukoni nikaudakia hukuhuku mfukoni halafu nikamvuta jamaa pembeni. Akaanza kuniigizia kama vile dishi limeyumba, bila kumuuliza chochote nilimpiga ngumi mbili tu jamaa akazimia, wale wapigadebe wa mwenge wakaja kumsaidia nikaondoka. Kesho yake napita pale namuona jamaa ni mzima kabisa kumbe siyo kichaa.

3 WATU WA MBUYUNI MOSHI` KUNA JAMAA MIAKA YA 2006 LILIKUWA LINAVAA VYUMA MWILI MZIMA HADI KWENYE NYWELE, YULE NJEMBA YUPO?? YULE NDIYE KICHAA ALIYEWAHI KUNINYANG'ANYA ELFU MBILI HALAFU AKAONDOKA KIBABE.
Daah! Mada ya Leo imenigusa haswaa wapendwa...mie Nina ofisi yangu yaani duka la vitu mchanganyiko rugha nyepesi 'takataka kuna chizi hapa kijijn kwetu nilimkuta tangu nakuja hadi sasa mashaallh huyo chizi kila siku asubuhi lazima aje hapo ofisini kunisalimu yaani daily!!! Vipi hapo kuna tatizo au nn maana yake??
 
Kwahiyo umemtamani Chizi mashallah
 
Hii story nilipewa na mzee wangu mmoja maeneo ya posta ya zamani.

Miaka hiyo pale posta ya zamani kuanzia boti za Azam mpaka maeneno ya utumishi kulikuwa hamna uzio. Mama lishe, vibaka, mabeach boy, wauza unga na wengine ndiyo ilikuwa maskani.

Sasa kuna mama lishe walikuwa wanadamka asubuhi kupika. Sijui ilikuwaje mama ntilie mmoja akamzoea chizi mmoja pale. Yule chizi akawa anakuja kula bure kwa yule mama akisikia njaa.

Yule chizi na yule mama wakaelewana sana kiasi kwamba mama akija alfajiri anampa chizi utamu kwenye giza. Chizi bwana akakolea. Siku moja chizi akaja saa nne asubuhi anataka mambo, halafu chizi alikuwa na mpini wa hatari kama wale jamaa wa porn na kavaa matambara. Nasikia ilikuwa aibu balaa, mpaka akina mama lishe wengine wakatoboa siri kwamba "umemzoesha, mpe sasa"
 
Kuna chizi mmoja mabanda ya papa anagusaga watu ukikaa vibaya aweza kukushika hata ziwa

Sku hiyo nilitoka barabara ya ishirini naelekea madukani mabanda ya papa maduka ya baibui me skua najua anaweza kunigusa nikampita tu nikashtukia kanishika shavu jamani nilipepesuka ilibaki kidogo nigongwe na daladala sababu yake moyo ulinienda mbio ikabidi nikae chini ya mti kwanza
 
Similar Discussions

21 Reactions
Reply
Back
Top Bottom