Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,481
- 167,331
hongeraNshasema sitopenda MTU nitazipenda pesa zake ...hiyo haina mjadala uwe ujinga au ujanja ila nimeamua hivyo
hongeraNshasema sitopenda MTU nitazipenda pesa zake ...hiyo haina mjadala uwe ujinga au ujanja ila nimeamua hivyo
Unampenda na kumjali sana. At the end hata kiss hataki..
Sawa hata ARVs zinapenda pesaNimewahi kulia sababu niliyempenda hakunipenda Bali alinitamani kitu akawa ananiletea dharauuuu nilikua naumia nikamuomba tuachane japo ilikua ngumu kwangu kutengana nae nilipiga moyo konde nikamwomba tuachane akakubali ....toka hapo mwezi mzima nilikua nalia tuuuu mpaka nilipoona ni ujinga nikaacha kulia na nasema sitolia tena .....sasa hivi sipendi MTU ni pesa tu ndizo ambazo nazipenda...
FX is real buz. People at Wall Street are making money.. also we retail traders get some dough too..nimelia sana sana baada ya kujua forex is real business
Una enjoy kuwaumiza ehMimi sijawahi kulia. Ila mimi ndo huwa nawaliza
mwanazuoni mgeniUnalia kipindi ukiwa unaliwa..[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23]
pole mkuuNimewahi kulia sababu niliyempenda hakunipenda Bali alinitamani kitu akawa ananiletea dharauuuu nilikua naumia nikamuomba tuachane japo ilikua ngumu kwangu kutengana nae nilipiga moyo konde nikamwomba tuachane akakubali ....toka hapo mwezi mzima nilikua nalia tuuuu mpaka nilipoona ni ujinga nikaacha kulia na nasema sitolia tena .....sasa hivi sipendi MTU ni pesa tu ndizo ambazo nazipenda...