Tuliowahi kulia kisa mapenzi tupeane uzoefu

torvic

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2016
Posts
4,490
Reaction score
11,196
Habari wakuu,

Kama umeshawahi kulia na sio kulia tu ni kulia kwa uchungu kwa sababu ya mapenzi, huu ndio uzi wako spesho.

Ilikuajeje hadi ukalizwa?

Ulijiona mjinga baada ya "kilio mapenzi"?

Utarudia kulia tena kwa sababu ya mapenzi?
 
Last edited by a moderator:
Sijawahi kulia ila hua naumia moyonii.. maranyingi hua napenda watu ambao wanarudisha maumivu.

"..If you love someone more than they deserve, you always end up with more pain than you deserve"
Even though i cant have you but still I love you FS
 
Mimi sijawahi kulia. Ila mimi ndo huwa nawaliza
 
Pole sana mkuu...mimi toka nizaliwe sijui hata machozi yangu ni ya rangi gani,niliambiwa hata nikiwa mdogo hawajawahi kuniona nalia..ila mwanaume.kulia kisa mapenzi unatakiwa ujitafakari mara mbili mbili
 
Sijawahi kulia ila hua naumia moyonii.. maranyingi hua napenda watu ambao wanarudisha maumivu.

"..If you love someone more than they deserve, you always end up with more pain than you deserve"
Even though i cant have you but still I love you FS
hakika nimeikop nakuipest kwenye sms hapa nasubiri majibu
 
Habari wakuu,

Kama umeshawahi kulia na sio kulia tu ni kulia kwa uchungu kwa sababu ya mapenzi, huu ndio uzi wako spesho.

Ilikuajeje hadi ukalizwa?

Ulijiona mjinga baada ya "kilio mapenzi"?

Utarudia kulia tena kwa sababu ya mapenzi?
Cjawahi kulia
 
Back
Top Bottom