Tuliowahi kulia kisa mapenzi tupeane uzoefu

Tuliowahi kulia kisa mapenzi tupeane uzoefu

"..If you love someone more than they deserve, you always end up with more pain than you deserve"
Even though i cant have you but still I love you...
na haya ndio majibu yake kupenda usikopendwa tabu tupu
ay bn
Sawa mkuu nakutakia mafanikio mema..
 
Mapenzi ukiyaingia kichwa kichwa lazma uumie ndani kwa ndani. Kidume kulia kutoa mchozi mhh sijaona, Mara nyingi unakuwa unaugulia ndani kwa ndani na maumivu yake si mchezo
 
Machozi natoaga wakati nacheka kwa kufurahi sujawah toa chizi jingine

Ukitaka uone chizi langu nichekeshe tena na tena
 
Nimewahi kulia sababu niliyempenda hakunipenda Bali alinitamani kitu akawa ananiletea dharauuuu nilikua naumia nikamuomba tuachane japo ilikua ngumu kwangu kutengana nae nilipiga moyo konde nikamwomba tuachane akakubali ....toka hapo mwezi mzima nilikua nalia tuuuu mpaka nilipoona ni ujinga nikaacha kulia na nasema sitolia tena .....sasa hivi sipendi MTU ni pesa tu ndizo ambazo nazipenda...
 
huo nao ni ujinga, hata kama ulitendwa haimanishi hakuna wengine wanaopenda kwa dhati
 
Back
Top Bottom