Tuliowahi kulala Sero/lock up kwa ujinga

[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Pole sana mke mwenza.
 
Nilikaa kwa saa6 sisahau aisee!
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Nimefurahia story yako
Very good
 
Naomba nisitaje majina,ila nikiwa kidato cha sita(6) mimi na wanangu wa utotoni mmoja alikua mtoto wa mkuu wa mkoa Dar maarufu sana na mwingine baba ake alikua Prof pale UD basi kwa wehu wetu yule swahiba angu mtoto wa Prof akaiba risasi kadhaa ambazo mshua wake alikua anatumia kuwindia tukagawana ili tuuze tupate sarafu za x-mass maana tulikua na mbwembwe za ujana hatari duh balaa likaanza yule mwana kapeleka biashara kwa mshua mmoja ambae ni anawinda sana kumbe mzee alikua cop kitambo na basi swahiba kuulizwa kama ana mzigo wa kutosha akatuunganisha na yule mzee cop ili wote tuuze haraka [emoji23][emoji23] tukajikuta ubaoni pale O'bay alafu mbaya zaidi mkuu wa mkoa kaibuka akasema tunyooshwe kuliko maelezo maana hata Prof tulimuweka matatizoni ndio nikajua wale wana selo kule chini nashukuru mama zetu wakaja kumwaga chozi baada ya siku 5 ndio washua wakalegeza kamba hapo nimeonana na wahuni wangu mara moja kwenye kutoa maelezo ila tulitengwa ila hii ilikua ni mara yangu ya 3 kuingia nyavuni hizo za mwanzo sijawahi kujilamu mpaka kesho nilienda ngome kishujaa hata mshua alikuja kunitoa uku anatabasamu.
 
Pole sana.
Asante mpendwa.
Uso ulikuwa mrefu siku hiyo kama ukuta wa jela
Mie ni smart pia na si mwizi wa magari LOL! Nikikusalimia kitaa naomba unijibu Madame B 🙂🙂🙂
BAK kwa lile tukio aisee....kwanza ungeniona usingeamini.
Wanaosemaga kuwa mwanaume anaweza pigwa vibao na ngumi na mkewe siku ya kufumaniwa kwake alikuwa sahihi.
Nilikuwa mdogo...maana kila ninavyojitetea, naangukia pua.
Weeee....wakaka smart sijui kaulamba mkanda nje, hapana.
Hizi suruali za kadeti naziogopa kinyama
 
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Pole sana mke mwenza.
Asante mwenza.
Mwenza ndio maana namtunishiaga kifua mume wetu maana nishanusa selo na kulala hivo siogopi.
We kama unaogopa ujue atatuongezea mke wa 3
 
Asante mwenza.
Mwenza ndio maana namtunishiaga kifua mume wetu maana nishanusa selo na kulala hivo siogopi.
We kama unaogopa ujue atatuongezea mke wa 3
Thubutu yakee! Mi mwenyewe ninja vile vile, yaani kama alikuwa na huo mpango aghairi mapemaaaa.
 
Thubutu yakee! Mi mwenyewe ninja vile vile, yaani kama alikuwa na huo mpango aghairi mapemaaaa.
Yaani nimekutana nae jukwaani hukoooooo anampongeza dada yake Khantwe kupata mume mpya.
Kumbe wifi alikuwa hajaolewa muda wote huo alikuwa anadanga tu.
Aoe aone cheche za wakeze
 
Yaani nimekutana nae jukwaani hukoooooo anampongeza dada yake Khantwe kupata mume mpya.
Kumbe wifi alikuwa hajaolewa muda wote huo alikuwa anadanga tu.
Aoe aone cheche za wakeze
Kumbe ulikuwa hujui!! Wifi mdangaji mzuri tu, hata hapo papya anadanga tu hamna jipya.

Wifi akija mwambie niko sudan.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kumbe ulikuwa hujui!! Wifi mdangaji mzuri tu, hata hapo papya anadanga tu hamna jipya.

Wifi akija mwambie niko sudan.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Huko Sudan mbona ndo huwa naenda kuchota maji jitahidi tu tusikutane maana ntakachokufanya hata mimi mwenyewe sikijui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…