Tuliowahi kulala Sero/lock up kwa ujinga

Tuliowahi kulala Sero/lock up kwa ujinga

Wifi jamanii pole nilikuwa sijaona huu mkasa wako pole sana my wife
Asante my super wifi.
Wifi enzi zangu nilikuwa nadanga, Mungu na malaika wake tu ndio walikuwa mashahidi.
Ila nashukuru Mungu, tangu kaka yako anioe.....nimepunguza kudanga.
Asante, maana lockup si mchezo.

Lockup niliyokaa muda mrefu ni Stakishari, almost 12 days....dah!!!
Ila now nimekuwa, najua kujicontroll.
Pepo lile lisinirudie tena.
 
Asante my super wifi.
Wifi enzi zangu nilikuwa nadanga, Mungu na malaika wake tu ndio walikuwa mashahidi.
Ila nashukuru Mungu, tangu kaka yako anioe.....nimepunguza kudanga.
Asante, maana lockup si mchezo.

Lockup niliyokaa muda mrefu ni Stakishari, almost 12 days....dah!!!
Ila now nimekuwa, najua kujicontroll.
Pepo lile lisinirudie tena.
Umepunguza???? Una maana hujaacha kabisa
 
Haha, hatari! Exacly miaka 11 nyuma, shule moja maarufu kwa kutoboa. Ilikuwa sherehe yangu ya graduation kabla ya final pepa A-level (graduation ilikuwa tunafanya jmosi, pepa inaanza j3). Sasa bwana, baada ya sherehe ilipofika jioni mimi na washkaji tukatoroka tukaenda chimbo kupata moja mbili kama njia ya kusherekea milestone ya graduation. Hatukuwa wazoefu, tukalewa fasta, akili zikasema tununue kreti ya bia tukamalizie gambe shuleni!! Hee, kufika shuleni tukaaza vurumai, tukavunja vioo vya madarasa then tukaingia darasa mojawapo kuendelea kula vitu. Dakika kumi nyingi, askari Hawa hapa (wale wale waliokuja kulinda mitihani, maana iliwasili jioni Hiyo)!! Wakanidaka na jamaa zangu, tukafungwa kamba moja kwa moja tukaongoza centro. Maticha wakataka tufukuzwe, mkuu wa Kituo akasema tufanye mitihani tukitokea selo, (nahisi alijua tungefeli tu). Basi bana, wiki tatu naamkia selo, naenda kupiga pepa, narudi selo! Hakuna kusoma wala kujikumbushia nini, noma saana. Duh, baada ya mtihani wa mwisho nikatoka, hapo nadaiwa pesa ya uharibifu wa shule. Sina kitu mfukoni, home hawajui lolote, ikabidi niuze kagodoro kangu na tranka, nikabembeleza wakapokea pesa. Nikapanda basi siku Hiyo Hiyo kwenda home, sikubeba kitu zaidi ya nguo zangu nilizovaa!! Matokeo kutoka nina division one nzuri, nikaenda kusoma medicine chuo maarufu mjini. Leo mimi ni Daktari wako unayemtegemea zaidi, ila yale matukio siwezi sahau!
 
Daah pole mkuu...

Hili tukio limetokea mda gani?
Ilikuwa nadhani June to July 2013 kama sijakosea.
Maana nakumbuka nilikuwa likizo kufuatilia uhamisho wangu toka manispaa Kinondoni kwenda Ilala.
 
Mi cku moja nilikamatwa natrafic mmoja sasa nikamletea kibur cha kibongo nikampigia cova. Then Nikampa cm dogo aongee na kova dogo kaongea naee then akakata cm akampigia cm baba yake kumbe alikuwa mtoto wa Said Mwema duu kikanuka nikachukuliwa cku hiyo jpili nikalala kesho yake nikapelekwa mahakan nikakir kosa nikalipa fain nikatoka. Yule dogo ni mshikaji wangu mpaka leo
 
Ilikuwa nadhani June to July 2013 kama sijakosea.
Maana nakumbuka nilikuwa likizo kufuatilia uhamisho wangu toka manispaa Kinondoni kwenda Ilala.
Daah ...historia tamu kinyama

Wanaume wasafi, wazuri zuri ni vimeo kiwango cha lami

Hata akiwa mumeo ndani ni bure tuu

Namuona sista angu yanavyomkuta kisa HB
 
Mwaka 2017,mapema sana unavyoanza... Vishiringi vyangu vichache,nkanunua shamba(kiwanja nje yw dar).Basi nkaona nisizubae nikaweka Ukuta kote,upande mmoja alikuepo mhaya Jirani,Akawa anapiga mswaki kila asubuh na kutema mate kweny MSINGI WANG KABLA HUJAISHA,siku moja nmevurugwa nkakuta ametupa hadi TAKA,uwanjani kwangu,(nilifaham coz mwanae ndo alitumwa kumwaga).... Nkamwendea nmefura NKATUKANIA MBALI NA KUMWAGA MLANGONI KWAKE MBELE YA MUMEWE.....nmerud nawalipa mafund ela yao,naona DEFENDER HYOOOOOO.....kumbe Yule mme wake Afande,alowapgia....ckuelewa nilipandaje ndani ya gari,niliona naondoka nao,Mara paaap vua mkanda,toa SAA...ndani mpk kesho...Ila kwa hasira nilivyo rudi NMEMGONGA MWANAE......bora mwaka uishe
 
Back
Top Bottom