Tuliowahi kuachwa: Ni changamoto gani uliyokumbana nayo baada ya kuona umeachwa?

Sitomsahau yule mshenzi aliyeniacha alafu ilibaki week 1 pepa la form 6 sio kwa stress zile kidogo nifeli
 
Kuna ka dem nilifall inlov nako..siunajua likizo ya six ile weng ndo huwa tunafanya matusi ..sasa ndo alikua first lov wangu ..nilikakuta bikra...mi nilikua nishabikiliwa na hausigel..bas yule demu nilimpenda kupita maelezo..ila sasa alikua ananiendesha kama gar bovu aisee .yaan hata stak elezea...sasa nikikumbuka jins mwanamke yule alivyokua ananitesa na kwa jins sasa hiv navyowatesa wao nabak nacheka tu na kujiona daaah nilifeli sana enz zile
Mwamba kweli ulifeli
 
Tunaojua kucontrol hisia za mapenzi kwa mwanamke zisivuke ukomo huu Uzi tunasoma tu uuzi nakujichekea kwa mbaaaliii.......!!!!!

Though kuna moment naonaga ninapokua na mahusiano na mwanamke......huu mtindo wangu wa kuwa na partial feelings huwa ni Kama nawanyanyasa Sanaa lkn potelea pwete........Hawa ukiwaendekeza Sanaa wanaweza kukuua kwa pressure
 
kifupi nilikuwa naishi nae kam mpenzi lakini kaenda kwao kakaa miezi mitatu na hela ya pedi aliniomba wiki mbili baada ya kuondoka lakini wiki moja kabla ya kurudi kaniambia hakuwa ana ziona siku zake hivyo anaona ana dalali za ujauzito karudi lakini kila mtu alikuwa anaishi pekeake kwel niligundua kwel mjamzito nilimbana aniambie ukwel kwamba ujauzito ni wangu au wa nan maana asilimia 99 sio wangu na nikagundua alikuwa na mahusiano mengine nikagoma kabisa kwamba sio wangu ila niliamua kumsaidie atoe afu maisha yaendelee kwa sababu bado nampenda lakini siku nampelekea dawa ili tutoe ujauzito niliendelee kusisistiza sio yangu tukagombana sana akaondoka usiku saa nne kaenda kwa mwanaume mwingine ambaye wamekutana wiki mbili zilizopita na kuhanzisha mahusiano niligundua baada ya kuacha simu yake nilimsubiri bila mafanikio hadi yakapita masaa 24 na alirudi akiwa kashatoa ujauzito nikabakia ili nimsaidie kwa hali alikuwa nayo lakini sikupata usingizi kabisa maaana ata alivyokuwa ameondoka na kugundua alipo kwenda sikupata usingizi na nikamwambia najua ukwel alikwenda alichofanya nikunizarau sana lakini cha ajabu asubuhi saa kumi na mbili kaniaga anatoka nikamuuliza anaenda wap nikambana kaniambia anaenda kwa mshikaji tena nikaamua kuondoka lakini nikimtafuta mida ya usiku hapatikani anakuwa kwa mshikaji
Lkin mkuu kwa nn ulshirik dhamb hii?
 
Tunaojua kucontrol hisia za mapenzi kwa mwanamke zisivuke ukomo huu Uzi tunasoma tu uuzi nakujichekea kwa mbaaaliii.......!!!!!

Though kuna moment naonaga ninapokua na mahusiano na mwanamke......huu mtindo wangu wa kuwa na partial feelings huwa ni Kama nawanyanyasa Sanaa lkn potelea pwete........Hawa ukiwaendekeza Sanaa wanaweza kukuua kwa pressure
Sawa tumekuelewa. Ila hyo control haija ijaja tuu..lazima kuna funzo ulilipata ndo ukaamua kuwa hvyo..sasa tunataka hlo funzo ..huyo aliekubadilisha tabia had ukaamua sasaa iwe hiv ndo tunataka stor yake..ilikuaje
 
Lkin mkuu kwa nn ulshirik dhamb hii?
Daaah nahisi wote yeye pamoja na mm tuli asiliwa na kazi tunafanya nijambo la kawaida kabisa maana sisi ni waaguzi,,,,,,,,,kutoa mimba ni jambo la kawaida mfano mzungu kam anatak mtoto wa kike akipat wa kiume anatoa tu
 
Mkuu umeanza vizuri ila umemaliza vibaya, nilidhani shujaa ni yule anayeweza kuachwa na dem mzuri na akasepa na kuendelea na maisha yake,
maana yule anayeacha lazima awe na ujasiri maana hamuhitaji tena mwenzie, issue sio kuacha baba, issue kuachwa na ukakubaliana ndo kuna shughuli..
Hivi mkuu kuacha na kuachwa yupi ni shujaa?

Unapoachwa ni sawa na jambo limeshafika mwisho huna ujanja tena.

Lakini kuacha mwanamke unampenda ni ujasiri wa hali ya juu..

Unaacha mwanamke kwa kujuwa kabisa atachukuliwa na mwanaume mwingine..

Wapo wanaume wengi ktk mahusiano wanaonekana wanayumba na kukosa msimamo sababu ya kushindwa kuacha.

Kama huwezi kumwacha mwanamke bado unampenda basi bado hujakomaa,,
 
yaaani shida afu ukiwa sio muhuni kwamfano mm huwa sipendi kuwa na masiliano nawanawake wengine ko nisipo wasiliana na demu wangu bhas saiz sipokei sms yoyote sikuzima najipoza na jf tu hapa
Acha tu yani ni balaa ukisikia mtu anakwambia akiachana na mtu anakua kawaida ujue ni muongo na anajikaza mazoea mazoea jaman ni mabaya yanaumiza mno
 
sijakuelewa boss fafanua
Kuna kile kipindi cha dalili za awali kabisa za uhusiano kuvunjika,(awali kabisa) mm sababu ya kiburi nilikuwa situmii ule muda kuokoa mahusiano yaliyopo bali kutafuta na kuboresha mahusiano mapya. Sasa mara zote nilikuwa na bahati by the time huyu wa zamani anataka kuvunja mahusiano officially anajikuta hakuna mahusiano ya kuvunja maana nakuwa nimekolea na mtu mpya na akitaka kurudi nakuwa simtaki. Kuanzia ujana wangu mpaka nilipomuoa huyu niliyenaye ambaye tumedumu muda sasa na watoto.
 
Nimefurahi kwani ni kama nimetua mzigo maisha yanasonga smooth kabisa.Akili imetulia na mambo mengi yanaenda vizuri kabisa.Nimekutana nae ananiomba namba nimemwambia ni namba mpya sijaishika snipe take nimefika mbele nime delete.Nakula wine hapa katika mjengo wangu
 
Dah, nakumbuka nilikua nalia kama chizi karibia mwezi mzima, siwezi kula napiga simu niombe msamaha ingawa kosa silijui ila simu hazipokelewi, SMS hazijibiwi na ikafata block๐Ÿ™„, nashukuru maumivu yamepungua sasa japo huwa nammiss.
ni hatar na nusu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ tena usiombe ndo awe mtu wako wa kwanz kakuacha mbon utaisoma namba๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom