Tuliowahi kuachwa: Ni changamoto gani uliyokumbana nayo baada ya kuona umeachwa?

Hahaha pole saana mzee. Hii kitu ni mbaya mnoo, hakuna maumivu yanayolingana na yale ya kuachwa.. nakumbuka nilikuwa katika depression kali saana, siwezi kula wala kuoga..nilikuwa siwezi fanya kazi yoyote.

Nikamuambia kuwa nitakufa na hii Depression.. yeye akanijibu kuwa kama una depression unasubiri nini kuokota Makopo? Wanawake sio watu aisee, hasa pale anapopata jamaa mpya
huyo manzi ako alikuwa katili kichizi yani
 
Watu wasio na malengo ktk maisha yao ndio wanapata shida kwenye mahusiano, inashangaza sana eti mtu anaamka asubuhi hata hajashuka kitandani anapiga sim, mchana, usiku. huo ni ujinga. Kama una plans na kazi za kufanya huwezi kutumia muda wako hivyo,
 
Ukiwa hauna hela haya ndio matokeo yake......?!

Mwanamke akikuacha unaona wewe ndio tatizo kumbe hauna hela.
Umeongea kinyume, anaona kaachwa kisa hana hela na sio mapichapicha aliyokuwa anamuonyesha mwenzie, badala ya kuwaza kubadili tabia na utu wake anawaza atafute hela ili sijui avumiliwe hayo mapichapicha 🥴
 
Kuna mshkaji wangu huwa tunamwita d,yeye alikuwa anasoma chuo pande za iringa,,unaambiwa demu Alimpiga kibuti bila hata ya sababu.

Jamaa alimpenda sana yule manzi,kiasi cha kujibadilisha hata muonekano,jamaa alikuwa mhuni flani,ila aliamua kubadilika na kuanza kuvaa kiheshima kisa demu ametaka hayo.

Alibadilisha kila kitu ili mradi aendane na anavyotaka huyo demu ake.

Ila ghafla,demu alikuja kumwambia waachane tena mbele ya watu,demu alimwacha jamaa ameduwaa mbele ya watu asijue la kufanya.

Jamaa anasema hakuwahi kumuona tena yule demu,kuanzia siku ile mpaka anakuja kufukuzwa chuo coz alikuwa haendi tena chuo kwa ajili ya mawazo.

Jamaa anasema mara zote alikuwa analala ndani,akilia bila ya majibu,maswali yalikuwa mengi,kwanini kaniacha?kwanini hivi kwanini vile??ila hakuna majibu.

Anasema aliona njia pekee ya yeye kuwa sawa ni yule demu,ni kama yule demu ndo alikuwa na password ya maisha yake.

Anasimulia kuwa hakuna maumivu makali kama yale,nilichomshauri ni kwamba next time USIINGIE KICHWA KICHWA KWENYE MAPENZI,WANAWAKE SIO WA KUWAPENDA 100% ikizidi sana basi iwe 13% inatosha sana hiyo.
 
Huu ni ushauri wangu mkiuchukua sawa mkiuacha sawa:UKIONA UKO KWENYE MAPENZI NA MTU UKAANZA KUENJOY SANA KUWA NAYE,UKAANZA KUTAMANI AWEPO KILA MUDA KARIBU YAKO,UMEKWISHA.EPUKA SANA HALI HIYO COZ KINACHOKUPA FURAHA NDO KITACHOKUPA MAUMIVU SIKU MOJA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom