Tuliowahi kuachwa: Ni changamoto gani uliyokumbana nayo baada ya kuona umeachwa?

Mazoea mimi ndo yalikua yananiumiza aisee tulivoachana ile hali ya kutoona sms , simu, akipiga, outing dah
Ilinichukua mda sana kukubaliana na hali ila kanisa ndo lilifanya nikaweza nilipoona iyo hali nikaanza kwenda kanisan
Wiki nzima nashinda kanisan hadi nikasahau kiukwel mazoea yanaumiza sana
Sad
 
mapenzi acheni tu aisee..nakumbuka me nilikua siwezi hata kula..nilipigwa na tumbo la kuhara aise..nilikua nashinda na bukta jirani na choo...nilikua nashindia maziwa ya tanga fresh ndo yalikua yanapanda aise..asubihi..mchana na usiku.. nilikonda nilibaki kichwa tu!!..ilikua kipindi nakaribia kufanya paper za UE paper kadhaa nilifeli aise..

nilikua naongea mwenyewe nikiwa road kama mwehu..

kuna siku nilikoswa koswa na mwendokasi maeneo ya shekilango pale..kisa mawazo navuka road bila kuangalia kushoto wala kulia...

kuna siku anaenda baiskeli road tu niliingia mtaroni bila hata kuelewa imekuaje..yote mawazo aise..

niseme tu ukweli..mapenzi yanauma saana

katika ishu ya kuachwa wanaume tunaumia na kupata maumivu zaidi kuliko wanaume
mana hadi mwanaume kapenda mwanamke..anakua kaona vitu flan adimu na tofauti kwa huyo mwanamke ambavyo wanawake wengi wenye maumbo na sura nzuri hawana..na ukizingatia sisi wnaume tuna tamaa flani kiukweli..

ipo siku ntakuja na kisa chenyewe aisee..ni story ndefu nakumbuka ilikua mnamo.. tar 25 septemper 2015 saa nne asubuhi maeneo ya sinza vatcan!!!

nelkonphy ndugu mapenzi acha tu aisee
Pole sana
 
Halijakukuta jambo wewe.

Nilipoteza karibu kilo 5 ndani ya mwezi tu, was my first break up na hapo mwanzoni nilikuwa nawaacha mimi na kuwashangaa wale waliokuwa wanalia lia kisa mapenzi. Siku jambo limenikuta nilitamani hadi nimwambie baba kinachonisibu....

Lenie usiombe kukutana na bwana Pepsi.
🤣🤣🤣 Nashindwa kukupa pole na natamani huyo bwana ningekuwa Mimi walahi nakuapia ungesema hadi kwa bwana wa mabwana labda sio Mimi mwenye visirani mapengo..😂

Ila pole chana mwaya japo ukome kiduchu..😅
 
Mapenzi hayaa.
Ninachoona ni kumbukumbu zetu tu, sielewi nini kinaendelea kichwani, nahisi moyo unapata motoo, unaumaa nashindwa kuelezeaa.. moyo na akili havitaki kukubali kumuacha aende.
Zaidi ya kulala, hakuna ninachotamani.
 
🤣🤣🤣 Nashindwa kukupa pole na natamani huyo bwana ningekuwa Mimi walahi nakuapia ungesema hadi kwa bwana wa mabwana labda sio Mimi mwenye visirani mapengo..😂

Ila pole chana mwaya japo ukome kiduchu..😅
Kobe mzee wewe 😂😂😂
 
Mapenzi hayaa.
Ninachoona ni kumbukumbu zetu tu, sielewi nini kinaendelea kichwani, nahisi moyo unapata motoo, unaumaa nashindwa kuelezeaa.. moyo na akili havitaki kukubali kumuacha aende.
Zaidi ya kulala, hakuna ninachotamani.

Umeandika kama shairi mkuu
Mecheka kidogo
Ila pole kwa unayoyapitia ndo ukubwa huo
 
Hakika mkuu..mapenzi yanauma sn,,
Mm kwangu shujaa sio aliyekufa vitani,,wala aliyepambana na simba.
Shujaa ni yule mwanaume mwenye uwezo wa kumwambiya msichana mzuri ,,tena mrembo haswa,,,
Nenda zako,,
Mimi na wewe basi..
Wachana na mm.
Tena sio kwenye simu..anamwambiya straight ,,sikutaki ondoka zako...
Mkuu umeanza vizuri ila umemaliza vibaya, nilidhani shujaa ni yule anayeweza kuachwa na dem mzuri na akasepa na kuendelea na maisha yake,
maana yule anayeacha lazima awe na ujasiri maana hamuhitaji tena mwenzie, issue sio kuacha baba, issue kuachwa na ukakubaliana ndo kuna shughuli..
 
Mzee wa watoto wakali Tz nzima
Kuna ka dem nilifall inlov nako..siunajua likizo ya six ile weng ndo huwa tunafanya matusi ..sasa ndo alikua first lov wangu ..nilikakuta bikra...mi nilikua nishabikiliwa na hausigel..bas yule demu nilimpenda kupita maelezo..ila sasa alikua ananiendesha kama gar bovu aisee .yaan hata stak elezea...sasa nikikumbuka jins mwanamke yule alivyokua ananitesa na kwa jins sasa hiv navyowatesa wao nabak nacheka tu na kujiona daaah nilifeli sana enz zile
 
Mazoea mimi ndo yalikua yananiumiza aisee tulivoachana ile hali ya kutoona sms , simu, akipiga, outing dah
Ilinichukua mda sana kukubaliana na hali ila kanisa ndo lilifanya nikaweza nilipoona iyo hali nikaanza kwenda kanisan
Wiki nzima nashinda kanisan hadi nikasahau kiukwel mazoea yanaumiza sana
yaaani shida afu ukiwa sio muhuni kwamfano mm huwa sipendi kuwa na masiliano nawanawake wengine ko nisipo wasiliana na demu wangu bhas saiz sipokei sms yoyote sikuzima najipoza na jf tu hapa
 
Halijakukuta jambo wewe.

Nilipoteza karibu kilo 5 ndani ya mwezi tu, was my first break up na hapo mwanzoni nilikuwa nawaacha mimi na kuwashangaa wale waliokuwa wanalia lia kisa mapenzi. Siku jambo limenikuta nilitamani hadi nimwambie baba kinachonisibu....

Lenie usiombe kukutana na bwana Pepsi.
Nimecheka kama mazuri, hapo kutamani kumwambia Baba, mimi mwenyewe hadi home walijua kuna jambo limenikuta maana nilikua frustrated nashinda chumbani nikitoka macho mekundu nimelia hadi basi aisee 🙄🙄
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom