Iyo Ilikuwa ni mwaka 2010+ niliendaga huko likizo kama vile mtalii nikaishipo kama mwezi yaani Ilikuwa ni kuwabadilisha wairaq nachukua black beauty, Mara mwarabu unywele mpaka matakoni. Mara mwembamba Mara Bonge BASI tu niifurahie.
Wairaqw ni wazuri sana na hawana maringo wala gharama kubwa sana mkuu. Hao wakija huku usukumani hata ngombe 200 msukuma anazitoa aoe MTT Wa asili ya kihabeshi.
So unawajua Hao walihama Iraq kuna huku kwetu kukimbia vita.
Mkuu tembelea karatu ,Babati,hanang ,na wilaya yoyote ya wairaqw utakuja kunishukuru.
Kuna bamedi mmoja pale kisongo mkuu ni mzuri hatari sana nilitamani sana mpaka nioe BASI tu.
Yaani ni mzuri ile zaidi ya balaa.