charlesfundi
Senior Member
- Jun 5, 2017
- 199
- 252
Jamani kwaanaejua kama Tanroad songwe wameita tayari shift incharges na operators tujuzan tafadhali
dhaa au tayari washafanya interview mkuuHii nami nilituma lakini mpaka sasa kimya
dhuu hii hatari mkuuwameshafanya interview na watu wameshaitwa kazini.
hahaha unaza kua upo mkuunipo kazini tayari na kuna kazi namalizia hapa... nakutania mkuu
Waliitwa interview rafk zangu nao hawajaitwa ,,unaweza kuwa unasubir interview kumbe watu wapo kazn tayar
mkuu hii ilikua ya kimya kimya dedline ilikua trh 9kwani hii kazi waliitangaza lini jamani?? na je dedline ilishafika?