Habari za uzima wana JF, natafuta kazi

netti mimi

Senior Member
Oct 10, 2016
147
108
Ombi langu la siku zote ni lile lile wana JF naomba mwenye nafasi yakazi jamani naombeni mnisaidie au kama unajua kampuni inayotangaza kazi nipo tayari nielekezeni mimi ni mwalim nafundisha kiswahil na history.

Vilevile naweza kufanya kazi ya markerting ninauzoefu nayo na nimeshafanya kwa mda wamiaka mitatu sehem tofauti tofauti naombeni mnisaidie tafadhali.

Naombeni msinishushue nahitaji msaad tafadhali.
 
Mkuu hebu kata tamaa mzee toka 2016 ulipojoin humu wewe nikuomba Kazi tu,hebu tupumzishe man
 
Jamaa thread zake zote ni kuomba kazi tu..kumbe waga kuna kazi duh wengine hara vibarua hatuna
 
Wewe Ni tapeli mpaka sasa umeshaandika nyuzi kibao unajibadilisha jinsia Mara mwanamke Mara mwanaume .....utopolo mtupu
 
Back
Top Bottom