Kupita kama njia nimepita mikoa mingi sana, sehemu sijapita Kama njia ni Katavi, Kigoma,Mara,Kagera.
Maeneo niliyofika bila kujali ni Mkoa ama wilaya gani
Mbeya jiji na vijijini na viunga vyake
Kyela
Tukuyu
Mwakaleli
Ileje
Tunduma
Chunya
Iringa mjini
Babati mjini
Mbulu na viunga vyake
Arusha mjini na viunga vyake
Hai (bomang'ombe)
Siha (West Kilimanjaro) mpaka Kamwanga-Rongai
Rombo
Mwika
Marangu
Holili
Himo
Moshi mjini na viunga vyake
Moshi vijijini
Mwanga mjini
Same ya milimani huko Vunta mpaka Njagu juu.
Bagamoyo (hapa nishakaa Bagamoyo Police post masaa karibia matano




) sehemu za Kihistoria zote za Bagamoyo, eneo la Kiromo nimekaa zaidi ya wiki 3.
Morogoro mjini na viunga vyake
Morogoro vijijini nimekaa zaidi ya miezi 04 maeneo ya Mkuyuni kwa Babu Tale, Matombo mpaka Tawa
Mwanza mjini Igoma by Night, Kisesa, Magu mpaka kwa Gen. Mabeyo
Nyegezi
Malimbe
Busega
Singida vijijini mwendo wa Punda na kula kuku kwa sana.
Singida mjini
Dodoma kisasa
Dar maeneo machache sana. Hapa huwa nakaa siku 1 au 2 na nikizidi sana ni wiki moja. Huwa sielewi watu wa Dar wanaishije!