Tuliosoma nchini KENYA tukutane hapa

Mimi nimesoma chuo kikuu cha Kenyatta na nilikua rais wa chuo pale kuanzia mwaka 1997 mpaka 2000!😎🙈
 
Sijasoma kenya ila kila likizo nilikuwa naenda kenya kwa mama yangu.
 
Nyie ndo wale mlikuwa mkirudi likizo mnatusumbua na lugha ya malkia mtaani.Hizi saints zikaja kutuondolea aibu
Hatari sana. Mtaani tulikuwa tunaogopewa sana
 
Mimi nimesoma chuo kikuu cha Kenyatta na nilikua rais wa chuo pale kuanzia mwaka 1997 mpaka 2000![emoji41][emoji85]
Hongera. Mi nimesoma jomo kenyatta primary school. Baada ya hapo nikaenda kwale high school. Kisha nikarudi bongo kumalizia vyuo vyetu ma lecturer wanaochanganya lugha ya kiingereza ba kiswahili darasani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…