Tuliosoma nchini KENYA tukutane hapa

Tuliosoma nchini KENYA tukutane hapa

Mimi nimesoma chuo kikuu cha Kenyatta na nilikua rais wa chuo pale kuanzia mwaka 1997 mpaka 2000!😎🙈
 
Sijasoma kenya ila kila likizo nilikuwa naenda kenya kwa mama yangu.
 
Mimi nimesoma chuo kikuu cha Kenyatta na nilikua rais wa chuo pale kuanzia mwaka 1997 mpaka 2000![emoji41][emoji85]
Hongera. Mi nimesoma jomo kenyatta primary school. Baada ya hapo nikaenda kwale high school. Kisha nikarudi bongo kumalizia vyuo vyetu ma lecturer wanaochanganya lugha ya kiingereza ba kiswahili darasani
 
Back
Top Bottom