Tuliosoma nchini KENYA tukutane hapa

Tuliosoma nchini KENYA tukutane hapa

Imesaidia in one way. Sana sana kwenye kwa hawa foreign investors. Ila wabongp wanakuwa na wivu kiasi flani. Nakumbumbuka nilikuwa na kikao flani hivi na wazungu nikawa nawapa shule kwenye industry yangu mwisho wakaniuliza hivi wewe umesoma Tz? Nikawapa background yangu wakasema ndio maana upo vizuri. Hawa watu weupe ni intelligent sana sijui walijuaje.
Umeharibu kwenye "Hawa watu weupe ni intelligent sana"
Nimesoma na watu weupe darasa moja, aliekua anaongoza darasa ni mweusi. The best niliwahi achieve nilikua wa 3, wa pili alikua muhindi. na walikuepo wazungu wajinga sana tu. Kama una watoto ama ndugu, usiwaambukize hiyo infriority ulionayo
 
Hongera. Mi nimesoma jomo kenyatta primary school. Baada ya hapo nikaenda kwale high school. Kisha nikarudi bongo kumalizia vyuo vyetu ma lecturer wanaochanganya lugha ya kiingereza ba kiswahili darasani
Ha ha ha. Ngeli ni shida Bongo.
 
Back
Top Bottom