Tuliosoma nchini KENYA tukutane hapa

Tuliosoma nchini KENYA tukutane hapa

Vp mkuu, kusoma Kenya kumekusaidia nini kwenye maisha yako au mazingira ya kazi?
 
Imesaidia in one way. Sana sana kwenye kwa hawa foreign investors. Ila wabongp wanakuwa na wivu kiasi flani. Nakumbumbuka nilikuwa na kikao flani hivi na wazungu nikawa nawapa shule kwenye industry yangu mwisho wakaniuliza hivi wewe umesoma Tz? Nikawapa background yangu wakasema ndio maana upo vizuri. Hawa watu weupe ni intelligent sana sijui walijuaje.
 
Nimesoma KENYA METHODIST UNIVERSITY 2011-2014 BBA in Logistics managements
 
Tuliosoma Kiambuu county tujuane jamani.. au mko bize na githeri?
 
Imesaidia in one way. Sana sana kwenye kwa hawa foreign investors. Ila wabongp wanakuwa na wivu kiasi flani. Nakumbumbuka nilikuwa na kikao flani hivi na wazungu nikawa nawapa shule kwenye industry yangu mwisho wakaniuliza hivi wewe umesoma Tz? Nikawapa background yangu wakasema ndio maana upo vizuri. Hawa watu weupe ni intelligent sana sijui walijuaje.

Shule nyingi za kibongo back then elimu ya kujieleza ilikuwa haipewi kipaumbele sana, kwa hiyo inakuwa ni juhudi binafsi za mwanafunzi.

Ndiyo maana utashangaa hata chuoni watu wanakimbia presentations.
 
hamna mbongo anayeonea wivu mzungumzaji wa kiingereza.

hujatujua wabongo ni watu wa kupuuza kila kitu.
 
Kweli mkuu. Nahisi kukosa kujiamini pia
 
hamna mbongo anayeonea wivu mzungumzaji wa kiingereza.

hujatujua wabongo ni watu wa kupuuza kila kitu.
Kweli watu wakupuuza mkuu, ndio maana yametukuta yaliotukuta kwenye elimu
 
Imesaidia in one way. Sana sana kwenye kwa hawa foreign investors. Ila wabongp wanakuwa na wivu kiasi flani. Nakumbumbuka nilikuwa na kikao flani hivi na wazungu nikawa nawapa shule kwenye industry yangu mwisho wakaniuliza hivi wewe umesoma Tz? Nikawapa background yangu wakasema ndio maana upo vizuri. Hawa watu weupe ni intelligent sana sijui walijuaje.
Ni ukweli kabisa
 
Watanzania wa Muguga high school, senior chief koinange, upper hill high school where you at, we'd meet alot in basketball matches dem days, in Alliance high school, it was lit, mashout out kwa Insyder magazine
 
Insyder magazine
images%20(7).jpeg
 
Back
Top Bottom