Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 15,300
- 33,628
Utakua unakimbiza kwenye 50 huko mkuu!Mimi nimesoma chuo kikuu cha Kenyatta na nilikua rais wa chuo pale kuanzia mwaka 1997 mpaka 2000!![]()
Utakua unakimbiza kwenye 50 huko mkuu!Mimi nimesoma chuo kikuu cha Kenyatta na nilikua rais wa chuo pale kuanzia mwaka 1997 mpaka 2000!![]()
Leta evidence mkuuMbona mkuu masters naskia hakufanya hapa
Kama nilimsikia akisema, tena kama sio ujerumani basi nchi moja wapo ya scandivia.Leta evidence mkuu
Acha uvivu Google CV ya MagufuliKama nilimsikia akisema, tena kama sio ujerumani basi nchi moja wapo ya scandivia.
Hamna. Kule kuna grades na sio division. Mfano A, A-, B+, B, B-, C+, C, C-, D+, D, D- na E. sijui wa rate vipi ila kuna A mpaka B ni div 1 na C+ mpaka C- division 2.Rating ya cheti wanafuata nini? Hawasumbui hua nasikia unawekewa pass mbovu mbovu mfano Div 4 wakati kule ulikua na Div 1. Kuna ukweli wowote?
Mkuu jomo kenyatta primary school utakuwa unaijuaPrimary-2003-2008 Aboubakar Siddiq Islamic Centre Matuga Kwale Kenya Class 1-5
2009-2011 Tiwi Primary School,Tiwi Kenya Class 6-8(358MrksKCPE)
SECO/HIGH SCHOOL
2012-2015 Shimba Hills High School,Shimba Hills Kwale Kenya,Form1-4(B- Mean Grade KCSE)!
Best memories:
Trh/11/11/2011 saa 11:00(tano kamili) nilimaliza mtihani wangu wakuhitimu msingi darasa La8..hizo namba (11) zilivyofatana imekua kitu cha Ajabu kwangu!
Ipo maeneo ya Msambweni Milalani mkuu napafahamu hapoMkuu jomo kenyatta primary school utakuwa unaijua
Ipo maeneo ya Msambweni Milalani mkuu napafahamu hapo
Maseno uni nilishawahi isikiaNimesomea chuo kikuu maseno uni kisumu
Kwale High napapata sana mkuu tulikua na bifu nao tukaenda kukinukisha ndani ya Matuga Girls!ahahahahaKweli mkuu. Pale ndio mzee mwenyewe inasemekana alifariki ndio ikajengwa ile shule kama ukumbusho. Facilities zake na majengo mkuu sio mchezo. Kwale high school unaijua ilipo mkuu.
Hahah. Mademu wa matuga grls si wa kwale high. Basi mkuu tulikuwa tukigoma pale kwale tunatembea kwa miguu mpaka kombani. Noma sana. Kuanzia kwale mpaka kombani ni kilomita 20 au na zaidi. Basi tunatembea usiku kucha mpaka asubuhi tunakuwa tunefika kombani, usiku kunakuwa hamna gari. Dah nikikumbuka shule ya pale noma sana.Kwale High napapata sana mkuu tulikua na bifu nao tukaenda kukinukisha ndani ya Matuga Girls!ahahahaha
Kombani nakupata sana pale kwenye round about ya road inayoenda Likoni na Ukunda na inayoenda Kwale...Strikes zenu nilishazisikia sana hatakuna kipindi mliletewa Mwera kuja kuwaweka sawa..! Hhhaahaa..Hahah. Mademu wa matuga grls si wa kwale high. Basi mkuu tulikuwa tukigoma pale kwale tunatembea kwa miguu mpaka kombani. Noma sana. Kuanzia kwale mpaka kombani ni kilomita 20 au na zaidi. Basi tunatembea usiku kucha mpaka asubuhi tunakuwa tunefika kombani, usiku kunakuwa hamna gari. Dah nikikumbuka shule ya pale noma sana.
Dah ile shule acha mkuu. Nakumbuka wakat nipo form 2 tuligoma tukatoka saa 8 usiku shule. Polisi walikuja tukawakimbiza na mawe. Polisi wakajipanga upya wakarudi tena na bunduki. Wakapiga juu risasi, tukatawanyika kisha tukakusanyika tena tukajipa moyo kama risasi zimeisha tuwakimbize tena kwa mawe. Wakazipiga tena nyingi hewani. Hapo ndio tukatawanyika vibaya sana. Tulitembea kwa miguu mpaka tunafika kombani saa 11 asubihi. Ile shule nai miss sana aisee.Kombani nakupata sana pale kwenye round about ya road inayoenda Likoni na Ukunda na inayoenda Kwale...Strikes zenu nilishazisikia sana hatakuna kipindi mliletewa Mwera kuja kuwaweka sawa..! Hhhaahaa..
Katka shule vichaa Aisee nyie Kwale ilikua namba nyingine na kwa mbaali mkifatiwa na Waa High!