- Thread starter
- #21
Kwa wajaluo mkuiKuna habari gani? Mimi nimesoma Kisumu.
Kwa wajaluo mkuiKuna habari gani? Mimi nimesoma Kisumu.
Vip ukisoma huko unawezaje kuingia kwenye mfumo wa elimu ya Tz?Experience
Duh haya mkuuMimi nimesoma chuo kikuu cha Kenyatta na nilikua rais wa chuo pale kuanzia mwaka 1997 mpaka 2000!![]()
Wew ulisoma kayumba nini mkuiHamtupati....
Primary na sec mkuuWewe umesoma level gani Kenya
Kwanini mkuuMabeberu nyie tokeni hapa
Kuna tofauti gani elimu ya Kenya na Tz kwa level ya Primary na Secondary SchoolPrimary na sec mkuu
Unaingia mkuu. Wanafanya equivalence unasoma. Ilibidi nisome 5 and 6 bongo ndio niende chuoVip ukisoma huko unawezaje kuingia kwenye mfumo wa elimu ya Tz?
Wote waliosoma nje ni mabeberu, Rais wetu mtukufu elimu zake zote kasoma TZ, yeye ni mzalendo. Weekend KareemKwanini mkuu
Rating ya cheti wanafuata nini? Hawasumbui hua nasikia unawekewa pass mbovu mbovu mfano Div 4 wakati kule ulikua na Div 1. Kuna ukweli wowote?Unaingia mkuu. Wanafanya equivalence unasoma. Ilibidi nisome 5 and 6 bongo ndio niende chuo
Mkuu sio kama nawasifia hawa jamaa ila wapo vizuri. Mtihani wa taifa wa darasa la 8 unaitwa KCPE. Kenya certificate f primary education. Masomo ni english language and composition kiswahili lugha na insha, geography, history, civics, religion, home science, business education, science, agriculture, art, craft, music. Kwenye religion unachagua moja kati ya islamic, christianity na hinduKuna tofauti gani elimu ya Kenya na Tz kwa level ya Primary na Secondary School
Wote waliosoma nje ni mabeberu, Rais wetu mtukufu elimu zake zote kasoma TZ, yeye ni mzalendo. Weekend Kareem
Sec mkuu ndio usiseme. Hapa watu wanafanya paper karibia mwezi mzimaKuna tofauti gani elimu ya Kenya na Tz kwa level ya Primary na Secondary School
Seminar?Rais kasoma pia nje ya nchi labda hujafatilia
Nimegundua basic education ni muhimu sana. Elimu ya chuo inafanana dunia nzimaRais kasoma pia nje ya nchi labda hujafatilia
Rais kasoma pia nje ya nchi labda hujafatilia
Mimi primary nilisoma shule moja inaitwa jomo kenyatta. Hii shule ilijengwa kama ukumbusho wa mzee kenyatta mwenyewe alifia hapa ndio ikajengwa hii shule kama ukumbusho wa jina lake. Aisee kama ulaya mkuu majengo yake na facilitiesYap
Nimesoma kwa wajaluo.
Mbona mkuu masters naskia hakufanya hapaMagufuli earned his bachelor of science in education degree majoring in chemistry and mathematics as teaching subjects from The University of Dar es Salaam in 1988. He also earned his masters and doctorate degrees in chemistry from The University of Dar es Salaam, in 1994 and 2009, respectively
Vipi hukubaguliwa. Mimi niliitwa sana mtanzania. Alafu jamaa walikuwa wanawadharau sana watz. Ila kwa sasa naona wanatu respectYap
Nimesoma kwa wajaluo.