hitler2006
JF-Expert Member
- Sep 1, 2014
- 370
- 213
Kama umesoma makongo NI mkasa gani uliowahi kukupata MAANA MIMI NAKUMBUKA NILIWAHI KUMWAGIA NDOO NZIMA YA MAJI SAA12 ASUBUHI JMOSI KISA NIMECHELEWA KUAMKA
Dah umenikumbusha Malongoli na msauti wake ni hatareeeha ha ha ha ha ha wapi malongori babu ayubu alikua anazingua sana akimuiga sauti yake watu mbiooo
KITU CHA JORO UNAKUTANA NA TISSUE PAPER NA HARUFU YA NYAMA KWENYE UKOKO NA MAHARAGENimekula sana joro kwa mama kipingu na juisi ya miwa

MKUU KAMA NAKUFAHAMU VILE....ULIKUWA HGE AU SIONiliwahi kutandikwa na mwl Komba (marehemu) kidogo nizimie kosa la kuinga darasani kwake KLF kujificha msala darasa langu sitasahau, Mungu amlaze pema

Ni Kombaa na sio Komba.Niliwahi kutandikwa na mwl Komba (marehemu) kidogo nizimie kosa la kuinga darasani kwake KLF kujificha msala darasa langu sitasahau, Mungu amlaze pema
Itakua haukumaliza zaidi ya 2007.ha ha ha ha ha ha wapi malongori babu ayubu alikua anazingua sana akimuiga sauti yake watu mbiooo
Aka Roman AbramovichDah umenikumbusha Malongoli na msauti wake ni hatareee