Tuliosoma Makongo Secondary School: Ni mkasa gani uliowahi kukupata

hitler2006

JF-Expert Member
Sep 1, 2014
370
213
Kama umesoma makongo NI mkasa gani uliowahi kukupata MAANA MIMI NAKUMBUKA NILIWAHI KUMWAGIA NDOO NZIMA YA MAJI SAA12 ASUBUHI JMOSI KISA NIMECHELEWA KUAMKA
 
Niliwahi kutandikwa na mwl Komba (marehemu) kidogo nizimie kosa la kuinga darasani kwake KLF kujificha msala darasa langu sitasahau, Mungu amlaze pema
 
Nimenunua sana vitambulisho kwa babu side. manake ilikua ukichelewa unaacha kitambulisho jioni unaenda kutumikia adhabu mi nikawa naviacha sana naenda kutengeneza kipya buku tatu tu
 
Niliwahi kutandikwa na mwl Komba (marehemu) kidogo nizimie kosa la kuinga darasani kwake KLF kujificha msala darasa langu sitasahau, Mungu amlaze pema
MKUU KAMA NAKUFAHAMU VILE....ULIKUWA HGE AU SIO
 
Back
Top Bottom