tinna cute
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 4,630
- 2,317
Kazi ipo,, ukweli huo
Inawezekana ila kwa yule anayehongwa na kama anakupenda si atauliza vipi kwenu mama yako anaendeleaje? Au hii hamna? Hivi kwa wanaohonga wana kasoro gani?
Hakuna mwanamke anaweza uliza swali lenye akili kama hili.. wengi hukaa kusifia tu ili waendelee kupewa mchuzi..
Molembe kaongea ukweli kabisa.. pesa za ukubwani huwa zina shida sana..