Tuliosoma Azania Sec tukutane hapa

Tuliosoma Azania Sec tukutane hapa

Ug
Naikumbuka lebo yangu ya ramani ya Afrika ya Blue, ule ugomvi wa Azania na Jitegemee. Dah Mchwa amefariki lini?
ugomvi huo ni 1999-2002 kwa lebo ya blue tutakuwa tulimaliza pamoja . namkumbuka mhindi dAthi
 
Habari wana jamvi, hebu tukumbushane mambo mbali mbali ya shule kipindi hicho. Mimi sitasahau jinsi tulivyokuwa tunasifiwa mtaani kwa kujua hesabu sometimes tunaitwa ma Genious,..

Wewe unakumbuka nini?
1)class of 1987-1990 Div one over 96 students; div 2 more students than Div 3 and Div 4.... only 2 students Div o... mmoja ya Div o ya 1990 ni mjasilia mali mkubwa sana sasa hivi.
2) Mzee Major...kitukufu Mwl Amos aka Kicheche Head master - Kisamo, Mwl Mdoe.... physics... ushamba increase as you are moving away and above the sea level, Mwl Dath - chemistry.... Mwl Malewo - biology... Shariff - accounts... Hesus - Spanish.... Mwalimu Jutta - English na mwl Mashanga... Mandevu
3) sheria ya shule... Kaptula za kakhi with round shirt bila kuchomekea...
4) Wanafunzi wa Kigamboni ....na shida ya kupinduka mitumbwi...
 
Sitasahau kule akambuzi area kwa Aiden, aliniwezesha kujenga heshima kwenye paper ya 2002...
 
Azania Azania our school...we look at you with pride..you are known far and wide...you will always be our guide..we will never forget you!...Azaboy anthem..
Those good days....spent 6 years..

The dream Team:

Baba Kwayu.....headmaster
Muchwampaka RIP....discipline
Mkongo.....second master
Christian....academic
Mattawa AB....registration
Salum salum
Mark Hatia
Ryoba. RIP
lindugani
Mama shija ..adv chem
Primus
Mosha
Hemed
Nzie
yengela a.k.a Tokyo
Hon Kikwembe...GS..
Mrs Maleko
Ustaadh Nkusa
Miss Paulor
Machiya..o level phy
Mama Mushi
Mr Msuya
 
Back
Top Bottom