Tuliopata ajira kimasihara tukutane hapa

Tuliopata ajira kimasihara tukutane hapa

Hivi na betting ni ajira ? Mimi baada ya kuacha kazi na kuingka ubia wa kufungua kampuni tukakutana na rungu la TRA kuna mambo hayakuwa sawa baada ya purukushani nikaijua Parimatch, the rest is history [emoji1787]

khaaaaa
 
Kazi yangu ya kwanza napita pita mtaani nakuta wanangu wanakula bia, serengeti ndogo zile sio lite siku mingi iyo mmoja akaniita tukapiga stori pale za hapa na pale mara kuongea kuhusu kazi jamaa akasema kuna sehemu kuna kazi itakufaa ila ungekuwa unajua kilugha fulan ungepata moja kwa moja, kesho yake nikazama eneo la tukio, eti nikapewa kimtihani cha kujieleza kwa kingereza kimoyo moyo nikasema hapa nishawaumiza wakitoka watakuwa wanajiuliza huyu mbantu amejulia wapi kikiristo, basi nikapata kazi, I hate the fact that watu wengi wanapata kazi sababu wanajua kingereza na sio kazi yenyewe , wajuz wengi wapo mtaani wanasota
 
Mkuu ioo GPA si wanasema chuo huwa kinawabakiza kua wakufunzi

babu sio wote mbona kuna TO mmoja tumefanya nae sana interview za recruitment secretariat ? huyo mshikaji naomsema alipataga shavu airtel na kazi ikaisha sasa ndio akawa anahaha kweli na ana stress hapati kazi nyingine na gpa ni kubwa mzee gemu gumu sana ila we kama unasoma na unaweza kupata gpa ya 5 malizana nayo tu
 
miaka ya nyuma ndo JK ndo anaingia nilipata kazi kwa maskhara sana.

kuna ofisi ya iliita watu 3 kwenye interview ili apatikane mmoja!!

akapatikana jamaa mmoja lakini jabu alisaini kwenye attendance siku 5 tu kisha akapotea!

aliekuwa anasimamia hiyo ofisi ya mtandao wa simu ni jamaa tunafamiana nae..

siku hiyo katika pitapita zangu nikamuibukia ofisini kwake hapo nimpe hi...

akaniuliza una mishe gani,kipindi hicho na mi nimetoka skuli yaani fresh from school..

akaiambia una jamaa alianza kazi hapa ila amekimbia ngoja nitampigia simu kama hataki kazi we si uko tayari??nikamjibu ndio ..
siku hiyo sikulala naskilizia maana kitaa ni kugumu sana.

kweli baada ya siku 2 akanipigia nikaenda kuripoti cha ajabu akataka mi niendelee kutumia jina la yule jamaa..daahhh ilinipa wakati mgumu sana kutumia jina la mtu mwingine.

siku zikaenda nikalizoea na hilo jina ahahahaha..

ila nilikuja kuacha kazi baada ya miaka km 7 hivi kupita
Mshahar mlikuwa mnapewa cash, yaani wanaita bwana flani....then naam, njoo uchukue chako, haya...
 
Last few yrs..niliamka asubui nikabeba vyeti vyangu hadi taasis fulan ..nikaandika na barua ya kazi..
Kufika nikaomba kuonana na MD bila ata appointnent nikaambiwa subur kwenye bench..
Nikasikilizia baadae nikaingia nikamsalimia na kumwambia mzee naomba kazi akanipiga interview pale pale nikamjibu vizur akasema atanitafuta..

Nimetoka pale nikapanda daladala kufika nyumban naona namba ngen daahhh kumbe ni MD akaniambia kesho njoo uanze kazi na siku hyohyo nikasain mkataba wa maana..

After 3 months MD akaniambia nataka unitafutie vijana wanaofanya kazi vizur kama mimi..daahh nikawaweka majembe yangu toka chuon ofis ikawa poa kazi zikaendelea vzur sana

Confidence is the key brothers..
 
[emoji23] [emoji23][emoji23] Mkuu hapa kweli kinaumana me najuaga ukipiga GPA kali wanakubakiza chuo kumbe huwa kuna wanao kosa vile vile, kitaa tunadanganyana sana

aisee maisha ni kujipanga
 
Last few yrs..niliamka asubui nikabeba vyeti vyangu hadi taasis fulan ..nikaandika na barua ya kazi..
Kufika nikaomba kuonana na MD bila ata appointnent nikaambiwa subur kwenye bench..
Nikasikilizia baadae nikaingia nikamsalimia na kumwambia mzee naomba kazi akanipiga interview pale pale nikamjibu vizur akasema atanitafuta..

Nimetoka pale nikapanda daladala kufika nyumban naona namba ngen daahhh kumbe ni MD akaniambia kesho njoo uanze kazi na siku hyohyo nikasain mkataba wa maana..

After 3 months MD akaniambia nataka unitafutie vijana wanaofanya kazi vizur kama mimi..daahh nikawaweka majembe yangu toka chuon ofis ikawa poa kazi zikaendelea vzur sana

Confidence is the key brothers..
Bado upo hapo
 
Back
Top Bottom