Of course
Yaaaa
Gharama zikoje huko TRA kufungua kampuni?Hivi na betting ni ajira ? Mimi baada ya kuacha kazi na kuingka ubia wa kufungua kampuni tukakutana na rungu la TRA kuna mambo hayakuwa sawa baada ya purukushani nikaijua Parimatch, the rest is history 🤣
🤣🤣na sisi tuliopata ubunge kimasihara tunacomment wap?
Hivi na betting ni ajira ? Mimi baada ya kuacha kazi na kuingka ubia wa kufungua kampuni tukakutana na rungu la TRA kuna mambo hayakuwa sawa baada ya purukushani nikaijua Parimatch, the rest is history [emoji1787]
Ambao bado tunasugua benchi kimasihara tujuane.Basi bwana baada ya kumaliza chuo sina mia sina kitu, nkaenda kujibanza kwa sister maana alikuwa ameolewa na wamejenga.
Ni vigumu kukaa kwa sister wako aliyendoani lakini sister wangu na mumewe tuliishi vizuri saaana. Basi nilimaliza chuo mwezi wa 7, Basi nkaanza application za kazi, nilkataa katu katu kuomba kazi physically maofisini.
Yaani nilikuwa naomba kazi online (via email) n.k, kufika mwezi wa 10 nilikuwa nimefanya application 14, na hakuna niliyoitwa hata interview.
Basi mwez wa 11 nikapitia email zangu nkaomba feedback ya application yangu ya kujitolea kwenye shirika moja la Wamarekani, nilipata contacts zote za Director General wa hilo shirika mtandaoni Basi nkamu-email kimasihara, ikumbukwe barua ya kuomba kujitolea nili-type kwenye simu kimasihara na ilipangwa vibaya, Basi yule boss akarespond email yangu akasema nafasi ikipatikana watanicheki.
Tarehe 24/12 napigiwa simu na manager nkafanye interview, yaani huo mwaka sikujua vya Christmas, nilipanda gari kutoka Dar Hadi mkoani nkapiga interview, tulikuwa 4 me nkatoboa nkapata kazi.
Director alipotoka Marekani kuja Bongo, alisema we chalii una confidence hatari, uliwezaje kupata contacts zangu, nkamuambia nilizipata kimasihara.
N.B Hivyo niliandika barua kimasihara ya kuomba volunteering, nkaandika emails ya kuulizia my application kimasihara, Sina hili Wala lile nkaitwa interview kimasihara, na nkaajiriwa mazima badala ya voluteering, so nkaajiriwa kimasihara.
Wale mliopata ajira kimasihara ebu shusha nondo.
Duh kweli maisha hayana formulamiaka ya nyuma ndo JK ndo anaingia nilipata kazi kwa maskhara sana.
kuna ofisi ya iliita watu 3 kwenye interview ili apatikane mmoja!!
akapatikana jamaa mmoja lakini jabu alisaini kwenye attendance siku 5 tu kisha akapotea!
aliekuwa anasimamia hiyo ofisi ya mtandao wa simu ni jamaa tunafamiana nae..
siku hiyo katika pitapita zangu nikamuibukia ofisini kwake hapo nimpe hi...
akaniuliza una mishe gani,kipindi hicho na mi nimetoka skuli yaani fresh from school..
akaiambia una jamaa alianza kazi hapa ila amekimbia ngoja nitampigia simu kama hataki kazi we si uko tayari??nikamjibu ndio ..
siku hiyo sikulala naskilizia maana kitaa ni kugumu sana.
kweli baada ya siku 2 akanipigia nikaenda kuripoti cha ajabu akataka mi niendelee kutumia jina la yule jamaa..daahhh ilinipa wakati mgumu sana kutumia jina la mtu mwingine.
siku zikaenda nikalizoea na hilo jina ahahahaha..
ila nilikuja kuacha kazi baada ya miaka km 7 hivi kupita
Umetisha mzeeBack in the days, mwanangu alinilengesha kampuni flan, akanipa mchongo mzima nikamuone md wa pale yeye ndo kila kitu. Nkafika pale secretary anabana, nkasema siondoki mpaka nimuone md. Habar zikamfikia md nkaitwaa. Nkapewa kimtihani pale nkahangaika nacho nkapiga pass nzuri mpaka md akanielewa. Basi nikaanza kazi siku hiyo hiyo. Yule secretary akaja kuwa mwanangu sana alivyoona nakomaa sana.
Waliojiajiri wakati wa magufuli wana maisha bora kuliko wenye ajira za masiharaqBasi bwana baada ya kumaliza chuo sina mia sina kitu, nkaenda kujibanza kwa sister maana alikuwa ameolewa na wamejenga.
Ni vigumu kukaa kwa sister wako aliyendoani lakini sister wangu na mumewe tuliishi vizuri saaana. Basi nilimaliza chuo mwezi wa 7, Basi nkaanza application za kazi, nilkataa katu katu kuomba kazi physically maofisini.
Yaani nilikuwa naomba kazi online (via email) n.k, kufika mwezi wa 10 nilikuwa nimefanya application 14, na hakuna niliyoitwa hata interview.
Basi mwez wa 11 nikapitia email zangu nkaomba feedback ya application yangu ya kujitolea kwenye shirika moja la Wamarekani, nilipata contacts zote za Director General wa hilo shirika mtandaoni Basi nkamu-email kimasihara, ikumbukwe barua ya kuomba kujitolea nili-type kwenye simu kimasihara na ilipangwa vibaya, Basi yule boss akarespond email yangu akasema nafasi ikipatikana watanicheki.
Tarehe 24/12 napigiwa simu na manager nkafanye interview, yaani huo mwaka sikujua vya Christmas, nilipanda gari kutoka Dar Hadi mkoani nkapiga interview, tulikuwa 4 me nkatoboa nkapata kazi.
Director alipotoka Marekani kuja Bongo, alisema we chalii una confidence hatari, uliwezaje kupata contacts zangu, nkamuambia nilizipata kimasihara.
N.B Hivyo niliandika barua kimasihara ya kuomba volunteering, nkaandika emails ya kuulizia my application kimasihara, Sina hili Wala lile nkaitwa interview kimasihara, na nkaajiriwa mazima badala ya voluteering, so nkaajiriwa kimasihara.
Wale mliopata ajira kimasihara ebu shusha nondo.
baadaa ya mshahara hujajiunga kula mademu kimasiharaBasi bwana baada ya kumaliza chuo sina mia sina kitu, nkaenda kujibanza kwa sister maana alikuwa ameolewa na wamejenga.
Ni vigumu kukaa kwa sister wako aliyendoani lakini sister wangu na mumewe tuliishi vizuri saaana. Basi nilimaliza chuo mwezi wa 7, Basi nkaanza application za kazi, nilkataa katu katu kuomba kazi physically maofisini.
Yaani nilikuwa naomba kazi online (via email) n.k, kufika mwezi wa 10 nilikuwa nimefanya application 14, na hakuna niliyoitwa hata interview.
Basi mwez wa 11 nikapitia email zangu nkaomba feedback ya application yangu ya kujitolea kwenye shirika moja la Wamarekani, nilipata contacts zote za Director General wa hilo shirika mtandaoni Basi nkamu-email kimasihara, ikumbukwe barua ya kuomba kujitolea nili-type kwenye simu kimasihara na ilipangwa vibaya, Basi yule boss akarespond email yangu akasema nafasi ikipatikana watanicheki.
Tarehe 24/12 napigiwa simu na manager nkafanye interview, yaani huo mwaka sikujua vya Christmas, nilipanda gari kutoka Dar Hadi mkoani nkapiga interview, tulikuwa 4 me nkatoboa nkapata kazi.
Director alipotoka Marekani kuja Bongo, alisema we chalii una confidence hatari, uliwezaje kupata contacts zangu, nkamuambia nilizipata kimasihara.
N.B Hivyo niliandika barua kimasihara ya kuomba volunteering, nkaandika emails ya kuulizia my application kimasihara, Sina hili Wala lile nkaitwa interview kimasihara, na nkaajiriwa mazima badala ya voluteering, so nkaajiriwa kimasihara.
Wale mliopata ajira kimasihara ebu shusha nondo.
Sio wote, aisee Kuna watu wanalipwa vizuri, gari bure, breakfast, launch na dinner bure, posho juu, na salary ipo, wewe jiajiri uuze ubuyu hatulinganiWaliojiajiri wakati wa magufuli wana maisha bora kuliko wenye ajira za masiharaq
Mademu wameliwa kimasihara sanabaadaa ya mshahara hujajiunga kula mademu kimasihara
Mi nakumbuka nilienda kwenye interview na ka lower second kangu, nje nikakuta mabishoo wanajitapa ooh mimi na First class yangu lazima nitoboe.
Tulipoingia kwenye interview niliwagaragaza vibaya sana, confidence ilikuwa juu sana. Aisee mpaka napata lile shavu sitosahau.