A
Anonymous
Guest
Tulioomba Samia Scholarship for Master Degree hatuelewi tufanye nini, vyuo vimefunguliwa na Scholarship bado, Je, zitatoka lini? Je, twende ku-report vyuoni au vipi?
Wanasema soon zinatoka lakini vyuo vimefunguliwa tayari tunabaki twende au vipi Je, scholarship umepata au ujapata?? So inakuwa ngumu kufanya maamuzi. Yaani sisi wenyewe kwa wenyewe ambao tumefanya application kwenye Samia scholarship na vyuo karibia vyote vimefunguliwa Leo Muhas ndio Cha mwisho
Hawakusema mwanzoni tar rasmi ya majibu kutoka, lakini walisema mwisho wa maombi Tarehe 5/9.
Pia soma ~ Samia Scholarship inaendeshwaje?