Labda kuogelea na safety gears Kama mpira ivi otherwise no,no,[emoji23][emoji23]Sasa bila kujifunza kuogelea utajua vipi.....usiogope
[emoji23][emoji23][emoji23] pole sana mkuuMimi naziheshimu sana swimming pool za kwenye mahoteli makubwa, nilikuwa nafikiri ni fupi, sasa siku moja nikasema ngoja na mimi niogelee kwenye swimming pool, aisee nilikunywa maji mpaka nikajamba na kauharo kidogo na kamkojo kidogo kakatoka, siku ile ndiyo nilijua maji ya swimming pool sio masafi kama yanavyoonekana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi naziheshimu sana swimming pool za kwenye mahoteli makubwa, nilikuwa nafikiri ni fupi, sasa siku moja nikasema ngoja na mimi niogelee kwenye swimming pool, aisee nilikunywa maji mpaka nikajamba na kauharo kidogo na kamkojo kidogo kakatoka, siku ile ndiyo nilijua maji ya swimming pool sio masafi kama yanavyoonekana
hawa wazungu wametuzidi kwa kila kitu mkuu,mm nlipata mshaji mmoja alikua anafanya research hapa bongo nikampa support yakutosha,basi alipomaliza nikampeleka mwanza ,kesho yake tukaingia ufkweni nikaka benchi na makonyagi yangu namcheki jamaa anavyocheza na maji,nkaona hiyo michezo nachezaga mtoni acha na mimi nicheze ziwani kuingia tuu wimbi hilo!,likanipeleka kusikojulikana ,nkaanza kuhangaika naona kama ndoto kumbe laivu,likaja wimbi lingine likanrudisha nkaponea ,konyagi ilikwisha nguo karibia nziache natetemeka hapo nkajua pombe sio chai,hadi leo kuoga ni chapu nakutoka sina mbwembwe na maji mimi.Duuh huu Uzi umenikumbusha mbali Sana..
Ilikuwa mwaka 2011 nikiwa form six huko mwanga Kilimanjaro ,alikuja dada mzungu jirani na shule basi nikaja kumshobokea na viinglish vyangu vya broken.mtoto akaja kukolea akawa anakuja school asiponiona analia basi masela wananisaka Kila chimbo kwamba mzungu wako analia huko.
Basi siku moja kaja na wazungu wenzake Kama watatu wakasema tukaogelee, nikawabeba washkaji zangu Kama kumi ivi..
Kufika bwawa lenyewe la umwagiliaji limejengwa kwa sakafu,basi watu wakapunguza nguo wakaanza kuruka kwenye maji ,kiukweli mi sijui kuogelea nkabaki mwenyewe nje nawashangaa Mara wakaanza come on men sio parefu
Nkaona itakuwa aibu niende na watasha alafu wajue sijui kupiga mbizi Mara nkapunguza nguo nkasogea nyuma umbali wa Kama mita kumi nkakimbia nkajitosa kwenye bwawa bwaaaaa
Watu ohhh oyeeee hiooo ....Mara naibuka nazama ,naibuka nazama nikaona ndo mwisho tayari sasa
Ikafika hatua sasa nikiibuka kidogo nanyoosha mikono kuomba msaada tatizo sasa wenzangu wakajua ni manjojo daah nlikunywa maji machafu Kama Lita tano ivi nahisi
Basi akaja malaika wa mungu ,jamaa mmoja akatambua nimezidiwa akaja akaniokoa daaah
Niliumwa U.T.I Kama mwezi mzima ivi
"Ukitaka kujua maji sio uhai we Zama tu utapata mrejesho"
Kwa sasa ata maji ya beseni tu nayaogopa ..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tatizo hatupendagi kusema hatuwezi kuogelea, na maji hayajaribiwi lazima yakuumbue tuhawa wazungu wametuzidi kwa kila kitu mkuu,mm nlipata mshaji mmoja alikua anafanya research hapa bongo nikampa support yakutosha,basi alipomaliza nikampeleka mwanza ,kesho yake tukaingia ufkweni nikaka benchi na makonyagi yangu namcheki jamaa anavyocheza na maji,nkaona hiyo michezo nachezaga mtoni acha na mimi nicheze ziwani kuingia tuu wimbi hilo!,likanipeleka kusikojulikana ,nkaanza kuhangaika naona kama ndoto kumbe laivu,likaja wimbi lingine likanrudisha nkaponea ,konyagi ilikwisha nguo karibia nziache natetemeka hapo nkajua pombe sio chai,hadi leo kuoga ni chapu nakutoka sina mbwembwe na maji mimi.
aisee nikikumbuka huwa nsisimka,mimi nilizoea kuogelea mtoni,macho yanadanganya sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tatizo hatupendagi kusema hatuwezi kuogelea, na maji hayajaribiwi lazima yakuumbue tu